Bobby hivi unaamini kwamba bibi harusi anaweza kuleta condition kama hiyo wakati harusi ipo katika kikao cha pili? mi siamini bana
Demba hawa wanaume wanabadika kama kinyonga, kabla ya ndoa ahadi kibaooo baada ya ndoa hakuna kinachotendeka!!!mie naunga mkono hoja kama huyo bidada ana nia njema hapa ametumia fursa ipasavyo!!!!!
Last edited by a moderator: