Psychological evaluation. Kuna wataalamu wake.Afya ya akili wanapima damu au wanapima nn
Na kuwasisitiza kufanya couple therapy angalau kila mwezi mmoja au miwiliAfya ya akili ni ugonjwa mtu anazaliwa nao au unatokea mtu anaweza kuugua muda wowote?
Kama anazaliwa nao hapo sawa bila Cheti kusiwe na ndoa ila kama mtu anaweza kuugua wakati wowote basi Haina maana maana akiugua mbeleni na ndoa imefungwa hatuwezi kusema alifunga ndoa akiwa na tatizo Hilo.
MAONI yangu kwenye hoja yako ni kuwepo kwa kampeni ya kuelimisha jamii juu ya mahusiano.
Kwaiyo vipimo vya kisayansi hakunaPsychological evaluation. Kuna wataalamu wake.
Kiuhalisia huwezi mchumbia mtu unayemuona ana ugonjwa wa akili. Hili halihitaji vipimo. Ni mgonjwa qa akili pekee ndio anaweza funga ndoa na mgonjwa akili.Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo.
Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai.
Nashauri mamlaka husika ziweke sheria kuwe na ulazima sasa wa wanandoa watarajiwa kupima afya zao za akili kabla ya kuoana na kuanza kuishi pamoja.
Na itakapothibitika mmoja kati yao ana magonjwa ya akili,basi ndoa isifungwe ili kuepusha kadhia nilizoanisha hapo juu.
Ndoa ni jambo jema hivyo watu wanatakiwa waishi kwa upepo na amani. Ukichunguza vizuri utagundua kuna watu hawakupaswa kuoa ama kuolewa kwa namna akili zao zilivyo.
Jeju Tz
Asilimia kubwa wanapata wakiwa kwenye ndoaNa kwa wanaopata changamoto ya afya ya akili wakiwa kwenye ndoa jee wafanyweje?
Utaaacha waanze kuviuza mtaaaniKabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo.
Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai.
Nashauri mamlaka husika ziweke sheria kuwe na ulazima sasa wa wanandoa watarajiwa kupima afya zao za akili kabla ya kuoana na kuanza kuishi pamoja.
Na itakapothibitika mmoja kati yao ana magonjwa ya akili,basi ndoa isifungwe ili kuepusha kadhia nilizoanisha hapo juu.
Ndoa ni jambo jema hivyo watu wanatakiwa waishi kwa upepo na amani. Ukichunguza vizuri utagundua kuna watu hawakupaswa kuoa ama kuolewa kwa namna akili zao zilivyo.
Jeju Tz
Hapo lazima pachimbike na kitaumanaNashauri kwanza waanze kupimwa watoa vyeti.