Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

Kwa wenzetu wa CDM,
Pamoja na kutufunga magoli yasiyo na utata huko Arumeru, tutajifua kea dhati na mwaka 2015 tutawapiga vyenga hadi muache siasa.
Kidumu Chama Cha Mainduzi
(pls no matusi)
Kidumu cha gongo au mbege.
 
Maumivu ya kichwa uanza pole pole. Jipeni matumaini na mtajutia kuanzisha shule za kata, ndizo zinaongeza wafuasi wa CDM
 
Kwa wenzetu wa CDM,
Pamoja na kutufunga magoli yasiyo na utata huko Arumeru, tutajifua kea dhati na mwaka 2015 tutawapiga vyenga hadi muache siasa.
Kidumu Chama Cha Mainduzi
(pls no matusi)

Huna jipya Gamba wewe!
 
Kidumu cha kuibia kura?teh!teh!teh! mimavi ya kijani imewajaa kwe suari!! mimvi ndo kabisa na mkwe wake!wako fungate!!
 
Kidumu cha kuibia kura?teh!teh!teh! mimavi ya kijani imewajaa kwe suari!! mimvi ndo kabisa na mkwe wake!wako fungate!!
 
Kweli kidumu cha baba yake,mama yake na ukoo wake kwa ujumla na uache kutupostia ujinga bwaa shee!
 
Nilisoma thread iliyokuwa inasema: KIGUMU chama Cha Mapinduzi kubadilika, Ni ngumu fikra za mwenyekiti za kuvua gamba. Ni ngumu siasa ya unyama na kujitegea, sorry ni ngumu siasa ya unyama na kujimegea.
 
Back
Top Bottom