UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Maneno ya Mwalimu yameshatimia tayari. Na ccm yenyewe iko mautiuti.
Mkuu mimi naona Nyerere angekuwa kikwazo cha demokrasia ya vyama vingi.... i think he left at the right time.People would have strong faith in what ge says and i doubt if he would betray his party.Na uhakika angekuwa hai angesema bila CHADEMA hii nchi haif
ufuki kwa maana imeshakufa sasa.
CDM ndio muongozo wa utendaji wa CCM.
Una umri gani? Sio uongo kwamba CCM wanaamka usingizini kutokana na pressure ya CDM. Na hili sio jambo baya. Zamani ukiikosoa CCM/TANU Detention. Kaa chini hujui kitu.Toka awamu ya kwanza nani alikuwa muongozo mtendaji wa ccm..
Chadema ni upepo utapita... Walianza nccr .. wakaja cuf...
Toka awamu ya kwanza nani alikuwa muongozo mtendaji wa ccm..
Chadema ni upepo utapita... Walianza nccr .. wakaja cuf...
Una umri gani? Sio uongo kwamba CCM wanaamka usingizini kutokana na pressure ya CDM. Na hili sio jambo baya. Zamani ukiikosoa CCM/TANU Detention. Kaa chini hujui kitu.
Mmmm, CCM haiendi bila CDM.Mabadiroko makubwa ya kisiasa na namna ya kufanya kazi kwa kujali wananchi na maisha yao, ndio tumaini jipya linalofanya watz kuiona Cadema kama ndio mkombozi.
Na yeyote anaye leta utani na mzaha kwenye hili anatangaza chuki na vita kwa watz.
Acha wananchi wakombolewe na chadema.
CCM wamejaa matajiri tu, na wengine ni wachumia tumbo tu!
mwanzo ilikuwa ni ccm ya ukweli lakini now days ni ccm ya majambazi.Toka awamu ya kwanza nani alikuwa muongozo mtendaji wa ccm..
Chadema ni upepo utapita... Walianza nccr .. wakaja cuf...