KAULI YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS K. NYERERE
Mwalimu aliwahi kusema "bila CCM imara nchi yetu itayumba".
Kwa kutumia kauli hii Mhe. Mukama ambaye ni katibu mkuu wa CCM (soma CCM sasa vurugu tupu ) na wengine wengi wanadai kwamba Baba wa Taifa alimaanisha "kuwa hakuna chama mbadala cha kuongoza nchi zaidi yake".
Je ni kweli hii kauli ina maana hii waisemayo au ipo maana nyingine aliyokusudia mwalimu?