hii comment ni muhimu sanakumekucha kumekucha
Hhhh ni haszu 2.0?Usibishane nae huyo yeye alitakiwa aitunze moja tu na kashindwa sembuse nyiny mbili
Bikra haitafutwi kwasababu watu wanataka uchi mdogo tu it's the feeling and pride ya kupata somebody wako amna mtu amewahi kugusa, we ndo wa kwanza na maybe utakuwa wa mwisho wake. Mambo ya kushauriana kila mtu unashauriana naye kitu cha level yake. Mfano unashauriana na wanaume wenzako ununue gari gan kwa ku consider technical factors then ukishajua unanunua subaru forester fulani hv unarud sasa kwa ile pisi kali yako ya la 3 b saiyo imeshapendezaga ipo hapo ndani unaiuliza tu tununue gari nyeusi au ya kijivu?? Mtt ni kucheka tu meno nje anajua mwanaume ni ww tu dunia nzima
Mimi sijawahi tafuta bikra, huwa nazikuta kwenye safari bila kuzitarajia. Kama hiyo ya mwaka jana jijini Dar, alienda chuo kutoka mkoani amekaa chuo 2 years mjini na hakai hostel ila bado anayo. Na niliamua kuiacha sababu alikuwa ananiganda mume mume wakati sina uhakika na hilo.Kwa hakika umebarikiwa sana mkuu.
Mwenzako tangu 2004 nikiwa form four hadi leo naitafuta bikra lakini sijaiona kiasi kwamba sasa hivi siiti tena 'bikra' bali 'kakakuona' kutokana na uadimu wake.
deduce what??? That deduction is of what use in this topic?Hakuna ubaya if you tell me. I just want to deduce something.
Swali limeku irritate sana?
Mabikira hawapo sasa..majibu utayatoq wapi?!Usijitetee sana, kaa pembeni wala hatukuchapi.
Hizi hoja waachiwe Mabikra wenyewe watatoa taarifa sahihi zaidi.
Sijajua, bali nimekuuliza je, limeku iritate?deduce what??? That deduction is of what use in this topic?
Umejuaje limeni irritate?
Aisee, binti umeolewa?Wanaume wana mambo mengi kichwani,kuwaletea mada hii ni kuwachokoza mpenzi
Japo kuoa bikra ni muhimu sana,binti asipokengeuka na vijana wa mjini anakuwa hajui kitu kuhusu sex nje ya mumewe hivyo kumweshimu mume inakuwa ni 99%
Kama ambavyo mnaona fahali kuwa na mwanaume mwenye pesa mali na kila kituModerator nisaidie kufuta hii topic π π€£ π ni uchokozi tuu..sitarudia πππππ€£π€£π€£π ngoja nirudi kny ID yangu ya kawaida..ili liparody nawaachia muhamgaike nalo π
Mwaga moto kama dragon bwashee