Bikra is Overrated

Status
Not open for further replies.
Wanaume wana mambo mengi kichwani,kuwaletea mada hii ni kuwachokoza mpenzi

Japo kuoa bikra ni muhimu sana,binti asipokengeuka na vijana wa mjini anakuwa hajui kitu kuhusu sex nje ya mumewe hivyo kumweshimu mume inakuwa ni 99%
 
Tatizo hutaki kupewa fact unataka kujifariji
Mungu alisamehe malaya wote ila alipotaka kumleta mtoto wake alitumia bikra.

Sasa wewe sio bikira unataka kuwa sawa na bikra?? Huna thamani huna hoja

Pathetic
Hahaaaa kama bikira kila mtu alikua nayo...

Eti sitaki kupewa facts..

Umerefute nilichosema?!

Umeishia kuni attack..

Mpaka hapa hujajua kwamba hivyo vimatusi vyako havinisumbui?!
 
... niliemuoa kijijini, hata kama watu waliishaniwahi, tunachangia historia ndefu na tuna mengi tunayochangia kiasi maongezi ni matamu kiasilia na sio ya ku'pretend'! ... nimeunga familia zetu mbili huko nyumbani na huniongezea furaha na mapumziko matamu mno niendapo nyumbani kwa likizo!
... you don't know what you're missing!
 
Kwa hakika umebarikiwa sana mkuu.
Mwenzako tangu 2004 nikiwa form four hadi leo naitafuta bikra lakini sijaiona kiasi kwamba sasa hivi siiti tena 'bikra' bali 'kakakuona' kutokana na uadimu wake.
 
Wakati naanza kusoma nikajikuta nataka kujua ni jinsia gani huyu. Kusoma jina tu, nilikuwa tayari nimepata jawabu.
 
Hahaaaa kama bikira kila mtu alikua nayo...

Eti sitaki kupewa facts..

Umerefute nilichosema?!

Umeishia kuni attack..

Mpaka hapa hujajua kwamba hivyo vimatusi vyako havinisumbui?!
Issue sio kila mtu alikuwa nayo, issue umetolewa ndoani au na yule bodaboda??

Dada angu vitabu vyote vya dini vinasema umuhimu wa kuoa bikra

Imagine unaoa mwanamke ambaye hana bikra most of them ni watoaji mimba wazuri so unaoa muuaji

Mbali na hilo unaoa MWANAMKE amelala na wanaume 5 sasa wakati wa sex anachofanya ni kufanya comparison mume na x wake

Binafsi naomba ukae kimya maana kidonda chako chekundu naona jinsi gani kimechafuliwa
 
Bikra haitafutwi kwasababu watu wanataka uchi mdogo tu it's the feeling and pride ya kupata somebody wako amna mtu amewahi kugusa, we ndo wa kwanza na maybe utakuwa wa mwisho wake. Mambo ya kushauriana kila mtu unashauriana naye kitu cha level yake. Mfano unashauriana na wanaume wenzako ununue gari gan kwa ku consider technical factors then ukishajua unanunua subaru forester fulani hv unarud sasa kwa ile pisi kali yako ya la 3 b saiyo imeshapendezaga ipo hapo ndani unaiuliza tu tununue gari nyeusi au ya kijivu?? Mtt ni kucheka tu meno nje anajua mwanaume ni ww tu dunia nzima
 
Hahaha fact
 
Usikute naongea na kitoto cha miaka 15!

Wewe tangia ujue wanawake umekutana nayo?!

Ongea fact sio mazingaombwe..

Usiniambie vitabu vya dini, sababu kuna walevi,mashoga, wazinzi wabakaji etc japo kuna dini, kwanza wengi hawaamini hizo dini so kigezo chako cha dini hakina hoja!

Mwisho nimeongea vitu vinne pale juu refute ama baking kimya!
 
Bikira haimaanishi tu ina thamani pale mwanaume anapoitoa.. au wakati wa kitendo..

Bikira ni ishara ya usafi wa mwili kwa baadhi ya mitazamo ya jamii fulani au watu fulani..usafi wa kiroho..

Jamii pia hutafsiri ubikira kama alama kwamba binti amelelewa vizuri na kwa maadili madhubuti na wazazi wake...

Pia jamii huchukulia mwanamke bikira ana uwezo mkubwa wa kujizuia na kudhibiti hisia zake...

Bikira ina maana nyingi tokana na jamii flani ama jamii tofauti..

Ndio maana waoaji wamekomaa wanasema wanataka kuoa bikira..
 
Na sijawahi kutana na bikra alafu akanimbia anayo, huwa nakutana nayo kama surprise. Ambao hawana ndio huwa wanasema "mimi sijawahi" alafu wanajifanya kuumia.
Compartmentalization. Hali ya maadili yanayokinzana kuwepo kwa pamoja. Kwenye jamii yetu ngono inakemewa na useja pia unaonekana jambo la ajabu.

Hapo utakuta anawadanganya hata vijana wenzake kwa vistory vya uongo uongo ili na yeye apate ule umaridadi wa kuonekana amefanya ngono.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…