Bikra is Overrated

Bikra is Overrated

Status
Not open for further replies.
Hatukulazimishi wewe lofa.

Mimi wife alikua 24 yrs mji huu huu unaokuzuzua na alikua bikra na nimezigonga nyingi tu za watoto wa kishua al muntazir, loyola na shaaban robert.

Wewe kama umezoea makombo endelea tu mkuu
Watoto wakishua hatukusoma hizo shule,..
 
Au amekopwa?au labda order zimekataa toka asubuhi simu haijaita 😂😂😂!

Mtaani life gumu zimeingia namba mpya vitoto vya 2000s vinawaka malaya wazee lazima wachanganyikiwe.
Bikra imetolewa toka raisi mkapa anapata wapi soko mkuu lazima atapetape.

Afu mpuuzi kama huyu ndio umuoe eti kisa ana degree na kingereza chake cha kuungaunga atafundisha watoto umalaya tu.
 
Nimeona huku watu wako so desperate kupata bikira mpaka kutaka kuoa young girls vijijini huko...

Sawa utampata kigori huko kijijini, akija mtu huyu huwezi hata kufanya discussions nae sababu mko class tofauti, hamuwezi kuwa level moja mkadiscuss maendeleo...more likely kwanza umemzidi elimu..

Second bikira inatolewa siku moja, sio kwamba itaota kila siku, inatoka siku moja then una realise umebeba mtu mzigo huna chemistry nae, sio rafiki yako..hamna chemistry baada ya hapo ..mtuambie nyie mliioa vijijini is it worth kukaa na mzigo kama huu kisa tu bikira ya siku moja?!

Tatu sio kweli kuwa na bikira ndio mtu atabaki kuwa na uke mdogo(mnato)daima , hayo ni maumbile tu ya mwanamke, wanawake wanatofautiana ..huyo mkeo ambae ulimkuta bikira anaweza kuzaa na uke wake ukabaki mkubwa.(sio wote). Wide notion kuwa ukifanya sex mara nyingi uke unalegea ni myth, ni maumbile tu ya wanawake na tunatofautiana..

Mwisho nilishawahi kuuliza swali humu tangia muanze kuhubiri bikira nani kakutana nayo??? Out of millions of men wanaotumia JF pamoja na wale wanaume wenye fake ID 🤣🤣😆 ni wachache sana walikuwa na guts za kusema wamekutana nazo..majority ni hola, so bikira is overated here in JF...bebeni mangurumbembe yenu maisha yasonge...stop looking for a needle in haystack...

Wasalaam

Anita

Mimi huyoooooooo byeee
Nisiwe muongo yani sijasoma kabisa ila hili andiko ni la kujitetea kwakua huna bikra 😂🙌

Kwenu wajumbe Selikavu Warld Edo kissy
 
Mbona swala jepesi sana. Unajaribu kuweka mawazo mengi yasiyo na ulazima.

Bikra ni adimu ni kweli.
Ipo overrated sio kweli. Kadiri imekua adimu ndio thamani yake imeongezeka.
Ila wewe kutokuanayo haitakiwi kua fimbo ya wewe kujinyanyasa au mtu kukunyanyasa kisaikolojia. Wewe bado ni mwanamke mwenye thamani kwa jinsi na jinsia yako. Ila haiwezekani kuignore bikra.
 
Siwezi kula makombo mimi chemistry sio shida tutazoana mdogomdogo
Unakuta bonge la shim********** wenzako washapanua wewe ndio unajikoki 😂 😂 😂 unakula makombo
 
Kuna njia nyingi za kujadili faraja, na hii ni moja wapo.
 
Jamaa linakudanganya linajipanga litakuoa kumbe linakusogezea siku tu😂
 
Muoe mabikira,msioe sijali when times come I the Lord i will make happened.
Kwa hiyo ukimwona mtu anavigezo tafuta mwingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom