Bikra is Overrated

Status
Not open for further replies.

Kama sio bikira ni malaya mkuu, atuonyeshe malaya mwenye bikira

Mwanaume ataamua mwenyewe aoe bikira au malaya
Mchina baaaaasi... basi mchinaaa..
Basi baba..😓😓😓😓😓😓
 
Hii mada imenikumbusha juzi kati kuna binti alikuwa na 21 years alikuwa bikra alilipiwa n'gombe 30,na mwingine asiye na bikra alitokewa n'gombe 15 na moja alipata bahati kuolewa ilihali tayari alikuwa na mtoto alitolewa n'gombe 5.
Hii ilikuwa mwaka huu huko kwa Wasukuma.
 
Bikira zipo, wapo wanawake wamejifunza vizuri tu na wamesoma binafsi mke wangu nimemkuta na bikira na ni digrii holder so bikira zipo, kama hauna sawa ila sababu za chemistry siziwepo
Mkeo kati ya wangapi ambao hawana?
 
Udhalilishaji tu..
 
Hakuna discussion kati ya mke na mume sio?

Sio bure ni malezi yenu..

Hujamuona baba yako akimfanya rafiki mama yako..

I don't expect different kama na wewe mkeo sehemu yake ni jikoni tu..

By the way watoto wa matajiri kwa vile wanabanwq sana... wakipata upenyo wana sex...usijidanganye!
 
Nature always win.

Kwa nini hata mtoto wa kike wa kahaba huzaliwa akiwa na bikra? Kwa nini huwa inakuwa pale.?
 
Hii nakubaliana nayo....kwa 💯

nimeoa bikra mwaka huu....nimeipasua mwenyewe!

Lakini cha ajabu...ugumu ulikuja kwenye kutoboa shimo tu...baada ya kumbikiri...maumbile yake ni ya kawaida kabisa na makubwa kama baamedi tu!

Na ni binti wa 2004 tu!

Simdhihaki...naongea fact...kuoa bikra sio kupata mwanamke mwenye maumbile madogo...!

Note🙁 (mimi sikumuoa kutafuta bikra!, nilikutana nayo accidentally tu!)

Nina side chick mtaani kwangu na ana "Nzao 2 "watoto wawili lakini ana maumbile yanabana mnoo!

Bikra isikudanganye... kuna mengine makorongo! Kwenye njia ya alipo huyo bikira mwenyewe!
 
Vitoe vitabu vya dini halafu rudi kwenye tamaduni zako za asili utajikuta unarudi palepale,kwamba bikra ni kitu cha thamani kwa mwanaume wa jamii yoyote. Duniani kuna watu wa tamaduni na asili tofauti,hawajawahi kukutana kusema waliweka kikao cha kukubaliana kuhusu thamani ya mwanake mwenye bikra, ila still jamii zote duniani bikra wanaipa thamani.

Bikra ni kielelezo cha uwajibikaji wa mwanamke katika kujitunza na kwa mwanaume kwake ni kitu cha thamani mno haijalishi kama anaamini kwenye dini au laah. Halafu kama hujui hamna dhambi mbaya kama kutokuwajibika, ukishindwa kuwajibika kuna vitu vibaya utaviona vya kawaida sana, mfano kubadilisha mabwana, kutoa mimba nk hivi vishakuwa vya kawaida. Bikra ni mali yako na ipo chini ya maamuzi yako, husiipoteze kwa tamaa zako, itunze kwa ajili ya mme wako wa ndoa.

Ila tukubali kiujumla jamii nzima tumefeli kwenye swala uwajibikaji na malezi,ndio maana siku hizi umalaya kawaida, kubadilisha mabwana kawaida, kutoa mimba kawaida, single parenting kawaida, kubambikizana watoto kawaida, watoto wa mitaani kawaida na tunapo elekea hata upunga utakuwa kawaida nk ukitizama kwa jicho la hekima utajua tu hayo yote ni matunda ya zinaa,yatokanayo na kutokuwajibika.Kutokuwajibika kwenye kitu fulani, kusifanye hiko kitu kuwa halali.

Ila yote kwa yote kila mtu ana preferences zake,wanawake kwenu mbele ya macho yenu mwanaume mwenye fedha ni wathamani, nyie tabia kwenu sio kipaumbele. Ila kwa wanaume bikra/purity ni ya thamani ipo hivyo na itabaki kuwa hivyo,so kila mtu ashike lake.
 
Just imagine siku ya harusi. Maex wa mkeo, waliomla kimasiahara na aliopiga nao one night stand wapo ukumbini halafu bwana harusi ndio upo pale mbele na suti yako unacheka cheka tu kama fala. Si uxenge huu.
Siku hizi wanajiamini binti anaolewa, anawatafuta maex wake wamchangie na kwenye group anakuadd na anakukumbushia kabisa mchango,ndio maana wengine wanagongwa wiki ile ya kufungia ndoa eti wanaagana.Yaani mpaka hapo unaona hiyo ndoa haitokuwa na afya.
 
Anae ziondoa hizo bikra ni mwanamme, anae zitafuta tena hizo bikra ni mwanamme na anae lalamika tena hizo bikra kutokuwepo ni mwanamme. Kuna mahali wanamme tunakuwa wabinafsi.
Kwani walishikiwa bunduki wakati zikitolewa.Kitu kipo kwenye himiya yako, then unalalamika kwamba wamekushawishi ukawapa, sasa hiyo akili na utashi aliyopewa ya nini.
 
Huu mkangafuu chombo used bado unajitutumua, damaged hoe.. una machungu makali sana wenzako wanatembeza wanapelekwa vacation, gari, kulipiwa rent we una makasiriko ya kusambaza uroda Bure 🤣

Tatizo nyota au muonekano wako hau support, peleka ushauri wako batili kwa wadogo zako wakike au binti yako watembeze kama wee si tumeukataa, simple tu.
 
M/Mungu alipitaka amlete mwanae Jesus, alimtumia bikra, tufikirie wote kwanini? Hakumtumia mwanamke ambaye sio bikra au mwanamke aliyetolewa bikra Kisha akaolewa na mwanaume mwingine

Naomba nitoe sababu Moja na wewe utoe Moja alaf tuendelee na mada

Sababu yangu
1) alihofia kumpa sifa mbaya na kusababisha kutukanwa Kwa masihi atakapozaliwa , matusi ambayo yangemdogosha na kumpa wasi wasi Kwa unabii wake, matusi kama " umezaliwa na Malaya , analala na wanaume ovyo mwanamke ambaye akujitunza" Malaya
 
Kama mke wangu anayo ninaamini wapo wengine wanazo, kama wewe huna sema sina mambo ya chemistry weka pembeni
Bro, nimekuuliza mkeo kati ya wangapi? Husemi hili jibu ingawa unalijua badala yake una spin..kama hujui hili jibu weka poll hapa jf uone hao "wengine" walizo nazo! Afu acha kunichokoza kijanja, mambo ya chemistry yamewaingia eeh?;wacha dawa iwaingie shenzi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…