THE BROKER
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 762
- 949
- Thread starter
- #41
wadada kweli mnataka kusema hamna mwenye sifa? bado sijataka kuamini kama hali ndio hii..
wadada kweli mnataka kusema hamna mwenye sifa? bado sijataka kuamini kama hali ndio hii..
Ma-bikra wengi ni wachafu.
unahakika na unachokiongea ndugu au unaassume tu
Kazi kwenu atakaewahi wa kwanza huyohuyo.[/QUOTE]Kwa mdada yeyote aliyejitunza mpaka kufikia umri Wa miaka 23- 26 nampa zawadi ya ndoa bila kujali mrefu, mwembamba, mweupe, mweusi hata kabila haijalishi.
Awe mjasiriamali au kama ana elimu awe na degree na awe ameajiriwa au kujiajiri. Mimi ni kijana mchacharikaji Wa ukweli hutajutia kuja kwangu.
Kazi kwenu atakaewahi wa kwanza huyohuyo.
Ma-bikra wengi ni wachafu.
Mchafu ni yule anayefanya ngono kabla hajaingia kwenye ndoa na bikra ni usafi pole sana kama ulikuwa hujui
Mchafu ni yule anayefanya ngono kabla hajaingia kwenye ndoa na bikra ni usafi pole sana kama ulikuwa hujui
duh utaitoa mimi sitaki
Itabidi Iangaliwe Tu Then Maswala Ya Ndoa Yafwate.😅
Aisee nitaku pm muda sio mrefuu.Ila Before Itabidi Nicheck kama Kweli Una mnato mnato