Wazo zuri kunadi bikra, in fact si kunadi bikra tusema " kunadi uaminifu wa kutoshiriki tendo la ndoa katika umri mdogo kwa wasichana"
Hata hapa bongo tunaweza ku encourage wasichana watutangazie bikra zao ila tatizo ni hawa wachina wanaoleta dawa ya kuziunga - itakuwa ngumu kutambua ipi halisi na ipi ni feki.