Bikira mnadani

afadhali huyo bikira yke imemtoa mrithi kuliko wakibongo wanaozipoteza kiholela na kwa udanganyifu na kubakwa na wengine bure kwa maneno matamu dada zetu amkeni sasa bikira ni mtaji
 
Wazo zuri kunadi bikra, in fact si kunadi bikra tusema " kunadi uaminifu wa kutoshiriki tendo la ndoa katika umri mdogo kwa wasichana"

Hata hapa bongo tunaweza ku encourage wasichana watutangazie bikra zao ila tatizo ni hawa wachina wanaoleta dawa ya kuziunga - itakuwa ngumu kutambua ipi halisi na ipi ni feki.
 
mungu wangu jamani kweli shida ni mbaya sana ..
Hapana mamii,kwani bikira si ni kama kizibo cha soda tu? kwa hiyo ni lazima kitolewe tu iwe leo ,kesho,mwaka,miaka 10 nilazima kitolewe tu,au ulitaka bikira zikatolewe hospitali?
 
Back
Top Bottom