mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
huyu dogo yuko addicted na virginity...
asanteni jaman nimejaribu kuacha lakini najikuta narudia na ndiyo maana nimelileta hapa jamvni kwa mfano kwa sasa nina mtoto mmoja mzuri wa kichaga anaingia mwaka wa kwanza niliangaika nae tangu yupo form 4 lakini nikafanikiwa alivyomaliza shule tu lakini na yeye anaelekea kushindwa kunivumilia leo ameniambia amechoka na vituko vyangu jamani narudia tena nifanye nnnnnnnn?
Habari zenu wana jf
tangu nianze mauhusiano nimetokea sana kupenda wanawake bikira na nikigundua wewe sio bikira ata ungekuwa mzuri vipi huwa sishughuriki na wewe kwan naamini wew sio wangu ipo cku mwenyewe atarudi , na mpaka sasa nimeshatoa bikira zaidi ya 6 mbaya zaidi katika kuipata hiyo bikira natumia muda mrefu mno kukufatilia huwa inachukua ata zaidi ya mwaka mmoja kwa kutumia njia zote za kurubuni,vishawishi sambamba na kutumia pesa cha kushangaza nikishakupata tu naanza vituko vituko mno mpaka inafikia mwanamke anachoka kuvumilia ananiacha mwenyewe bila kupenda na kwa maumivu kibao na machozi yasiyoisha nami huwa sirudi nyuma naanza kutafuta bikra nyingine siku zinasonga laki sasa najiuliza hii hali mpaka lini naombeni maoni/ushauri/mchango jamani ..plzzzzzz