Bikira inanitesa

Bikira inanitesa

Katika kitabu cha danieli alishatabiriwa kuwepo mtu kama wewe.kumbe umesha kuja na kuanza kufanya uharibifu katika nchi?
 
Wat goes arnd comes around, omba ucwe na watoi wa kike, watabikiriwa TiGo na hadi maskioni..... Repent
 
Subr waje wakutoa na ya mlango mwngne ndio utajua maumivu yakuchezea mabnt wawatu.
 
Tatizo ukishalijua hupati taabu kupata ufumbuzi wake, wewe umeshajua kuwa tatizo unapenda bikra, basi chukua waliopasulia bikra
 
Sikuhukumu kwasababu unahitaji msaada. Nitafute kwa simu hii km hutajali. 0713 56 18 72
 
huna hata aibu kuharibu watoto za wa2 ukikuta hana humtaki unadai sio wa kwako mwenye nae atakuja je hao sita wote ulio watoa utawapeleka wapi au mwenye nao ni nani
 
Vijana wengi au Watu wengi wanaona kutoa bikra ni ujanja lakini nawashauri sana wenzangu ogopa bikra na Ikimbie kama unavyoikimbia Njaa ama Unavyoogopa kupata Ukoma.....Kwa mujibu wa Mwenye kuumba Mbingu na Ardhi katika kitabu chake Kitukufu Anasema......Wananafuu waliotaka Kuivunja Alkahba kuliko mwenye kumtoa Mwanamke Bikra....na ukishamtoa mwanamke bikra kila yule mwanamke anapozini basi mnagawana dhambi wewe uliyemtoa na yeye pia anapata ina maana utaacha kubeba huo mzigo mpaka pale yule mwanamke anapoolewa......Huna kivuli siku ya KIyama wala huna pepo Sasa kwanini ufanye ivyo maana wewe ndo umemfungulia uyo Binti kuanza kufanya zinaa OGOPA NA IKIMBIE BIKRA....Na mwenye kumkataa Mwanamke kwa kumuogopa MWENYEZI MUNGU BASI ANAKIVULIN SIKU YA KIYAMA
 
Mwanangu hao sita uliowatoa watakuwa hawapindui kwako, unauhakika mpaka sasa kuwa na nyama sita ambazo ukikohoa tu zinakuja
 
mwanzo mzuri wa kutatua tatizo ni kulijua na kulitambua kwamba lipo tatizo! hakuna shortcut hapa, namna ya kuacha ni kujiuliza swali jepesi kwamba, je wewe una dada? Maana ni wazi huna mtoto.... Sasa utajisikiaje ikiwa dada dada yako (au mdogo wako wa kike) ambaye unamuona anaheshima (yani bado innocent) hajawahi kuvunja amri ya 6 (asomaye na afahamu), atapitiwa na mtu mwenye tabia kama yako ya kutoa visoda na kusepa...?

Uashauri wa bure ambao umeuomba hapa ni kwamba OGOPA SANA uharibifu wa binti zetu......, na utubu kwa imani yako uliyorithi wa wazazi wako maana usipofanya hayo, MUNGU atakujaalia wakati ukifika watoto wengi wa kike (hata na pengine wa kiume) na wote watafanyiwa hayo hayo uyafanyayo kwa watoto wa wanaume wenzio na watafanyiwa na watu wazima wenye nyumba zao na wewe utajua kila anapofanyiwa hayo....! Je, utaumia rohoni au........, wache niishie hapo, maana...........................................
 
One day utarudi kwa bikra moja kati ya hizo sita ulizozitoa na atakuwa mke wako, naamini malipo huwa ni hapa hapa duniani.
Kwanza kwa kipindi hicho ulichomuacha wenzako watakuwa wanamgonga kama wewe unavyokataa kugonga hasiye bikra, pili hata kama utamuoa bado watakugongea pita. Mbaya zaidi omba usizae watoto wa kike, vijana watakugongea mbele yako iliari tu ulipwe ulichowafanyia wenzako.
 
habari zenu wana jf
tangu nianze mauhusiano nimetokea sana kupenda wanawake bikira na nikigundua wewe sio bikira ata ungekuwa mzuri vipi huwa sishughuriki na wewe kwan naamini wew sio wangu ipo cku mwenyewe atarudi , na mpaka sasa nimeshatoa bikira zaidi ya 6 mbaya zaidi katika kuipata hiyo bikira natumia muda mrefu mno kukufatilia huwa inachukua ata zaidi ya mwaka mmoja kwa kutumia njia zote za kurubuni,vishawishi sambamba na kutumia pesa cha kushangaza nikishakupata tu naanza vituko vituko mno mpaka inafikia mwanamke anachoka kuvumilia ananiacha mwenyewe bila kupenda na kwa maumivu kibao na machozi yasiyoisha nami huwa sirudi nyuma naanza kutafuta bikra nyingine siku zinasonga laki sasa najiuliza hii hali mpaka lini naombeni maoni/ushauri/mchango jamani…..plzzzzzz

umekuwa kinyegere weweee??
 
kati ya bikra sita ulizovunja, moja au mbili tu ndo genuine ....zingine zote usikute ni za kichina.
 
Back
Top Bottom