Bikira inanitesa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bikira inanitesa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KICHUMVI, Sep 26, 2012.

 1. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana jf
  tangu nianze mauhusiano nimetokea sana kupenda wanawake bikira na nikigundua wewe sio bikira ata ungekuwa mzuri vipi huwa sishughuriki na wewe kwan naamini wew sio wangu ipo cku mwenyewe atarudi , na mpaka sasa nimeshatoa bikira zaidi ya 6 mbaya zaidi katika kuipata hiyo bikira natumia muda mrefu mno kukufatilia huwa inachukua ata zaidi ya mwaka mmoja kwa kutumia njia zote za kurubuni,vishawishi sambamba na kutumia pesa cha kushangaza nikishakupata tu naanza vituko vituko mno mpaka inafikia mwanamke anachoka kuvumilia ananiacha mwenyewe bila kupenda na kwa maumivu kibao na machozi yasiyoisha nami huwa sirudi nyuma naanza kutafuta bikra nyingine siku zinasonga laki sasa najiuliza hii hali mpaka lini naombeni maoni/ushauri/mchango jamani…..plzzzzzz
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Hongera zako Bikira Kichumvi aka Mzee wa mabikira
   
 3. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Mharibifu mwingine huyu..............Acha!
   
 4. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mzee wa kuvumbua vipaji hongera
   
 5. peri

  peri JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  we muharibifu wa watoto/dada za watu.
  Unayoyatenda nakuhakikishia yatakuja kuwakuta wanao/dada zako.
  Tubia kwa mola wako na ujitulize uoe.
   
 6. Root

  Root JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,309
  Likes Received: 13,018
  Trophy Points: 280
  Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako. . . . . . . . .mithali 12
  Usizini. . . . . .
   
 7. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  Daaah

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 8. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wenzio wakipata hii kitu hawang'atuki kweli we differ!
   
 9. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,651
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Sifa za kijinga
   
 10. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 998
  Trophy Points: 280
  Siku ukimpata bikra utatulia,hizo unazopata wewe za kupaka.
   
 11. String Theorist

  String Theorist JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nasikitika mpaka sasa umesha-haribu ndoa sita. Tuna ndoa nyingi sana ambazo sio geniune kwa Mungu.
  Kila bikra ikitolewa Mungu huhesabu kama agano la ndoa(ogopeni sana makubariano yanayo husisha damu). Ndio maana inasemwa "wakwanza kufanya nae ndio mke/mume wako".
  Hii ndio maana hata wewe ukikuta mwanamke sio bikra automaticaly unajua sio wakwako.
  Kuvunja bikra huleta nguvu ya ajabu sana ya kupenda hasa kwa mwanamke na Ndio maana ni rahisi kufanya mapenzi na mwanamke uliye-mtoa bikra hata kama yuko kwenye ndoa ya miaka mingi tuu.
  Itabidi uache hiyo tabia haraka sana na uombe kusamehewa na Mungu na akusaidie uache hiyo tabia.
   
 12. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asanteni jaman nimejaribu kuacha lakini najikuta narudia na ndiyo maana nimelileta hapa jamvni kwa mfano kwa sasa nina mtoto mmoja mzuri wa kichaga anaingia mwaka wa kwanza niliangaika nae tangu yupo form 4 lakini nikafanikiwa alivyomaliza shule tu lakini na yeye anaelekea kushindwa kunivumilia leo ameniambia amechoka na vituko vyangu jamani narudia tena nifanye nnnnnnnn?
   
 13. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daaa!! mungu anisamehe
   
 14. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  siku hizi ziko za-kichina
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  JF imevamiwa
   
 16. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Its obvious utakuwa una kula Vitoto ie WanaFunzi wa SecondarY na Imagine utakuwa una Umri Gani ....

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 17. Mtanga Tc

  Mtanga Tc JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ashindwe Shetani na kaptula zake.......!!!!:pray2:
  By the way, do not ever forget that...the past will haunt you!
   
 18. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Hahaaaa! Ndo maana hudumu coz wewe daily ni mwalimu tu. Jaribu kupiga mechi za kiutu uzima, unapotezwa mwanzo mpaka mwisho!!! Tena umkute mzaramo, mambo juu kwa juu tu, unalambwa mpaka T---- (chezea watoto wa uswaziii waliochezwa unyago miezi 2), hutokaa upende viwanafunzi. Unaweza kujikuta unapiga miyoweeee kwa kuchanganyikiwa na utamu!!! Kila unaloambiwa TAWIREEEEE! Hahaaaaa! Ngoja niishie hapo kabla sijawapandisha watu NYE--- mida ya kazi.
   
 19. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Wasio na bikira unawaogopa kama red inavyoonyesha hapo juu, sawa kabisa. Je wale unaowatoa bikira unawaacha ili nani awachukue hali unajua wanaume wenzako watawaogopa kama wewe? Unachofanya sio uzinifu wala ukahaba bali ni uasherati, ACHA MARA MOJA.
   
 20. L

  Laaziz Member

  #20
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huna haya wewe mzinzi mkubwa we! watoto wako watakuja fanyiwa hivyohivyo.
   
Loading...