Big up ! Simu 2000 bus stand

Nilifika pale mara moja pako poa sana
 
kwa asili lile eneo lilikuwa ni mali ya TTCL. mwaka 2000 TTCL ikabinafsishwa na serikali ya mkapa na mwanasheria Chenge.ili wakubwa wajichuke vyao, kikaundwa kitengo kinachoitwa simu 2000, mwenyekiti wa kitengo hiki alikuwa mtoto wa ANNA MKAPA. kitengo hiki dhumuni lake kubwa lilikuwa ni kusimamia mali zoote za TTCL (viwanja , majengo yasiyo na mitambo, na nyumba za wafanyakazi) ziuzwe na fedha zifunguliwe account maalum. kwa ajili ya wafanyakazi watakaopunguzwa eti kwa ajili ya kubinafsishwa.mali ziliuzwaaa na nyumba wakagawana wakubwa . hakuna cha kufunguliwa account wala nini.ukiiichimbua sana hii simu 2000 , utawakuta wakina martin lumbanga. fredrik sumaye, anna mkapa na wengineo, hapo ilipostand kwa sasa hao jamaa ndipo walipoweka ofisi zao, ulipokuja utawala wa Kikwete akaifutilia mbali na muda wake tayari ulikuwa umeishakwisha , kwa hiyo majengo ambayo yalikuwa hayajauzwa kwa mfano pale brek point mali ile ikarejeshwewa tena TTCL, na maeneo mengine serikali ikajimilikisha , kwa ufupi ndio asili ya hilo jina
hongera zao.....hivi hilo jina la simu 2000 limepatikanaje?
 

Nawashauli wabadili jina... Simu 2000 limekaa kushoto sana. Wapaite MAWASILIANO!
 
barabara mbovuu kukelekea kituoni,lazima upate mafua ukienda navkurudi,acheni kusifia vibovuu.
 
Hicho kituo kililuwa kizuri sana ila kimehanza kuharibika kwasababu ya urasim Wa manispaa yetu huyo meneja Aliyekuwepo wamemtoa wameweka watu wao kwa maslai yao jamaa alikuwa kichwa na mchapa kazi hataki longo longo watu kama Hawa nchi hii hawatakiwi wanawatumikia wananchi badala ya viongozi jama ni kichwa yule sijui yupo wapi sasa nadhani wanamwita Semtanga kama sikosei
 
kituo ni kizuri sana na panavutia kiukweli...lakini jina hilo Simu 2000 ndo nini? jina la kituo hovyo kabisa....
 
Kituo kizuri, barabara ya kuingilia mbovu. The work is incomplete...
 
Do you think everyone ambae anakaa Dar lazima afike simu 2000? Kutopajua Hapo haijalishi Tuoie mkoa, Wengine hata nauli za daladala tushasahau n sh ngapi



Sasa kusahau nauli za daladala unafikiri ni big deal?au unataka kila mtu ajielezee the way anavyoishi humu ndani..ushasema kwenye post yako uko mbali...period
 


Kimeanza kuharibika kivipi mkuu?miundombinu au nini?na ayo mabadiliko ya management yameathiri vipi utendaji wa kituo moja kwa moja?
Can u explain from those point of view mkuu?
 
Mwanzoni ilikuwa ukienda maliwatoni unapewa ticket, kulikuwa na machine za Max Malipo sasa hivi hakuna.
 

Vieira, umenikumbusha wimbo wa Lady JD. Historia. Yani hakina hata mwaka! Aisee Oktoba ije haraka bana.
 

Naona mnaanza kampeni za Udiwani chini chini
 
Last edited by a moderator:
Kuna wireless free kabisa pale ..!!big up sana na mimi nasema.
 
Umenena vyeme, nongezea tu pia kutoka kwa wasemaji kuwa, inasemekana ikuwa mwaka 2000 kama sio miaka ya 2000
 

Bado mapema sana kucfia,,,Mswahili cmtu wakuaminika sana hasa linapokuja swala lakucmamia jambo
 
Last edited by a moderator:
wangeipa jina la MAKENGEZA au VIJISENTI bus station.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…