Big Sunday live Wasafi TV

ZAWADI YA GARI /NDINGA MPYAA KWA ZUCHU !!

Hakika Subira huvuta Kheri na Kila Mwenye kusubiri Basi Mungu humpatia kwa wakati ulio sahihi [emoji120].

CEO wa @wcb_wasafi , diamondplatnumz , amemsuprise @officialzuchu kwa Zawadi ya Gari Mpyaa juu ya Jukwaa La #BigSundayLIVE Usiku huu !

Ni wazi Malkia huyu anastahili Kutokana na uvumilivu wake na Uwezo wake mkubwa alionesha ndani ya Muda mfupi tu wa safari yake ya Muziki . HONGERA ZUCHU [emoji120]

#BigSundayLIVE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…