Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,088
- 4,492
Ko we ndo yule dogo anayejiita comedian[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu, siyo yuleKo we ndo yule dogo anayejiita comedian[emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa wameiba kusikojulikanaWameiba wapi idea ya hicho kipindi ?
Kuhusu quality sijaona show inayorushwa katika Muonekano bora hapa bongo maana hata hizo chanel za mpira wa bongo bado hazijawa Clear HDAmmy girl hana muonekano bana hajafit pale, tunawapa muda waboreshe muonekano wa show ina poor quality, all in all kipindi ni [emoji91][emoji91][emoji91] kila audience wabadilike sio kila siku wale wale
Unasema Show in poor qualityAmmy girl hana muonekano bana hajafit pale, tunawapa muda waboreshe muonekano wa show ina poor quality, all in all kipindi ni [emoji91][emoji91][emoji91] kila audience wabadilike sio kila siku wale wale
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unasema Show in poor quality
Wakati huo huo unasema
Kipindi ni fire fire.
Hivi unaelewa ulichokiandika hapo ?
Kiko noma sana kipindi ikoNi kipindi kilichojaa ubunifu mkubwa na burudani za kutosha.
Ikiwa ni ep ya pili tu tayari The MVP lil ommy ameprove kwamba yeye ni king katika industry ya burudani akiwa sambamba na Ray Mshana na Ammy gal.
Kikiendelea kama kilivyoanza natarajia kipindi hiki kitakuwa na mashabiki wengi sana wapenda burudani
Let's enjoy
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee umependa performance ya Nani?Kiko noma sana kipindi iko
Hahaha Ilalaaaaaa noma mtu yule chid chid vhid beeeeeenzMzee umependa performance ya Nani?
Me kwangu Linah sanga ingawa najua chid Benz ndio alikuwa man of the show? Vp umefurahishwa na performance ya Linah?Hahaha Ilalaaaaaa noma mtu yule chid chid vhid beeeeeenz
Aisee ipo moto sana big up sana kwa wasafi media kwa kutuletea show kali ya usiku yenye upekeeView attachment 1479033View attachment 1479034View attachment 1479035View attachment 1479036
machette show ipo Moto sana nilipenda Sana kumuona deo wa cheka tu pamoja na performance ya Linah na chid Benz
Hapo amekubali tuu bila kifichoUnasema Show in poor quality
Wakati huo huo unasema
Kipindi ni fire fire.
Hivi unaelewa ulichokiandika hapo ?
Hahhahaha boss naelewa sana tu hizo taa na muonekano wa host pamoja na audience unaulewa kweliUnasema Show in poor quality
Wakati huo huo unasema
Kipindi ni fire fire.
Hivi unaelewa ulichokiandika hapo ?