Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,007
- 168,594
Sioni kosa la Bujibuji, yeye ametujuza yaliyojiri huko uwanja wa Taifa..! Isitoshe LIBOLO liliikandamiza Simba ndani kwake..!Ina maana hakuna hata mods mmoja ambaye ni Simba ampige lifeban huyu Bujibuji
majany, kumbe wewe una roho ya Yuda Eskarioti. Angalia usije ukajinyonga na kumwacha Zion Daughter akiwa mpweke.Ina maana hakuna hata mods mmoja ambaye ni Simba ampige lifeban huyu Bujibuji
najuta kwanini yule refa alikataa goli lawazi kabisa..
Usinitolee unabii mbaya aiseee majany hatakufa bali ataishi ili ayasimulie matendo makuu ya Mungumajany, kumbe wewe una roho ya Yuda Eskarioti. Angalia usije ukajinyonga na kumwacha Zion Daughter akiwa mpweke.
Zion Daughter tatizo la majany ni kwamba kaingiliwa na roho chafu ya Yuda Eskarioti. Tuikemee kwa kufunga na kukesha, kwa kusifu, kuabudu na kushukuru kwa kufungulia huyu chotara wa kondoo na mbuzi majanyUsinitolee unabii mbaya aiseee majany hatakufa bali ataishi ili ayasimulie matendo makuu ya Mungu
Zion Daughter tatizo la majany ni kwamba kaingiliwa na roho chafu ya Yuda Eskarioti. Tuikemee kwa kufunga na kukesha, kwa kusifu, kuabudu na kushukuru kwa kufungulia huyu chotara wa kondoo na mbuzi majany
majany huna shukrani wewe. Nimekupa kondooo mnono na baraka tele lakini hutosheki.Afu we mchungaji napata mashaka na huo ukasisi wako...mbona una maneno ya chinichini sana...au huu uchumba wangu na Zion Daughter umekuchanganya sana.....je ikifungwa ndoa si ndo utachizi wewe......My sweetheart Zion Daughter ng'ombe wameingia na treni jana jioni.....stay tuned...