Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Haya Laveda naona umeanza na ngekewa. Hongera
 
Na ndio tushaanza na u-head of the house.........waTz ina maana tunajua kucheza tu big brother.........?
 
UPDATES:

Oktoba 25, 2014:





 
Mpaka sasa bado housemate hawajatulia kihivyo, bado wana ule ushamba ushamba wa jumba na mambo ya kujionesha onesha. Muda huu wengine wako busy kupiga gitaa na kuimba imba. Ila msimu huu kama micharuko wako wengi vile, hasa mabinti. Hebu tuone, wakati utazungumza.
Ova
 
idris personality yake humo ndani ikoje mkuu
 
idris personality yake humo ndani ikoje mkuu

Sio mtu wa kujichanganya sana mpaka muda huu. Hana stori nyingi kama ilivyo kwa washiriki wengi waliomo. Yuko busy na kibinti fulani sijui cha nchi gani, anakibeba beba mgongoni na kuhama hama nacho vyumba. Na ana usinga mkononi kama mganga wa kienyeji.
ova
 
Ni shida........shemeji wa taifa ndani........

cc😡kongosho..... Dark City.........


Ahsante sana Preta,

Mambo naona yameanza vizuri ila kumekuwa na dalili za kudorora fulani vile.

BBA wanatakiwa kumbadilisha IK ili kuleta vionjo vipya!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…