Hiyo We Chat nayo ya kiboya tu... Maprocess kibaaao utafikiri unaomba Visa kwenda kutibiwa tezi dume.. Mtu hata mzuka wa kuvote unaisha...aargh.

Umeonaaaa mi nimeshindwaa
Ahahahh ahaha eti utafikir unaomba visa, duh , ila na wenyewe kiboko aiseh process kibao
Idris is the winner
Na kura yenyewe sipig mie nshachoka, ila idris is the finest contestant in BBA he knows how to play the game, i wish him all the best ila suala la kumpigia kura mtanisamehe, yani nitoe 600?? Mia tano yenyew ya kujiunga na extreme pack inanishindaga haya naanzaje kutumia mia sita warumi mie??
Hhhheeeeeeeeereee
Wanitue , ingekuwa umbea ningejiminya nitoe, mtu sio ndugu yangu wala rafik naanzaje kujipendekeza kias hicho, halafu akishinda hakujui
Na kura yenyewe sipig mie nshachoka, ila idris is the finest contestant in BBA he knows how to play the game, i wish him all the best ila suala la kumpigia kura mtanisamehe, yani nitoe 600?? Mia tano yenyew ya kujiunga na extreme pack inanishindaga haya naanzaje kutumia mia sita warumi mie??
Warumi we ni janga la kitaifa
Ahaha ahah kwq nn??