Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
motsepe jana nimeangalia after party ilikua balaa maana huku Goitse huku Ellah.. sasa Idris anakua hajielewi
Macky2 naona kachanganyikiwa na Feza kamsahau hadi dem wake
Macky 2 anapenda mademu weupe ndo mana kwa feza kachizika
nakubaliana na wewe somehow. maana mack 2 na yeye mweusi kama kambale na feza ndio anamtumatuma saa 7 usiku feza oooh I want chicken mchizi kaacha kitanda faster na kwenda jikoni kuleta nyama.....mapenzi niue
Macky 2 kazimika sana kwa feza kachanganyikiwa hajielewa hafu Goitse sa ivi anajipitisha kwa Idriss ananibore mwanzoni alikua anajifanya hamu mind
nani kamuudhi lucklay namuona analia hapa jamani naona its nat a game kaumia sana
Game hiyoooo alishaplan kutibua mda tu
Tayo out uwiiiiii nimefurahi
Hivi huyu dem wa Idrisa analia nini?
Its fake
yani mie Tayo ananichoshaga tu better ingekuwa kweli.Goitse she is taking the game so serious badala ya kujiachia.Fake eviction.....
Sasa Tayo kawa mdogo kama piriton lol
yani mie Tayo ananichoshaga tu better ingekuwa kweli.Goitse she is taking the game so serious badala ya kujiachia.
Simuelewi Goitse kinamliza nini
Yaani anakuwaga na makelele... anachosha... angetoka kweli tu
Hivi huyu dem wa Idrisa analia nini?
Yaani anakuwaga na makelele... anachosha... angetoka kweli tu