Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
True dat,leo asbh uliona jinsi sheila na mr 265 walivyombana kuwa wakat wa michezo yao ilopita alihisi idris alianza kufil smthin kwa sheila hahaaa jamaa akshangaaa mwisho wa siku wakamgeukia sheila kuwa yeye ndio alishaanza kumfil idris alibanwa mpaka akata kukasirika,mr 265 ni m'mbea balaa
Bora Idrisa alivomuacha Goitse.....That day alinikera yume mwanamkke
Hivi Huyu Ella jana kaliwa papuchi?
Nilisizia na comments zinazopita zanipa wakati mgumu
Ella jana kaliwa papichi na kaycemore
huyu keycmore si ndo alimzingua idris baada ya kutalk kuhusu yeye na ellah?
Yeah alimsema vibya idris sikuile kisa kumwambia ella kuhusu mpango wake wa kumla papuchi lake...
tena alikuwa mkali kuw anataka kumharibia kwa wife wake
Wakuu ni Big Bro gani mnaangalia?? Mbona Kacey Moore na Ellah hawakufanya chochote last night?? Acheni uzushi bana
Its rumors hakuna aliye na uhakika na hilo ila kama uliangalia leo asubuhi screen comments zilikuwa zinahusu wao wawili kuhusu hilo
hawakufanya chochote mkuu, bahati nzuri jana kuna kazi nilikua nafanya mpaka saa 11 na nilikua naangalia sikuona hicho kitu zaidi ya kulala pamoja tu