mangochi_Jr
Member
- May 15, 2013
- 6
- 1
Ati cku moja panya alikwenda church kusali,kaingia ndani misa inaendelea akapiga magot anageuka nyuma akamwona paka, ndipo panya akasema "mmmmh ndugu yangu humu tumekuja kusali tu mambo ya kuwindana na kutafunana baadae!!!" ndipo paka nae akajibu kwa hasira "acha kujitetea wew humu tunakula mpaka mwili wa bwana yetu kristo ndio nikuache wewe"