LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,899
- 37,699
Ijumaa Wikenda : Inadaiwa wakati mkiwa na urafiki, mlikuwa mnashiriki mapenzi ya jinsia moja
( Usagaji ). Je ni kweli ?
KAJALA : Ni kweli nilikuwa nalala naye kitanda kimoja, sasa hapo kwenye usagaji nani ‘mwanaume' na nani ' mwanamke'?
IJUMAA WIKENDA : Inasemekana wewe ndiye ulikuwa ‘mwanaume'.
KAJALA : Huuuh….hakuna kitu kama hicho !
SOURCE : Gazeti la Ijumaa wikenda, tarehe 21 APRILI 2014.