Bifu la Afande sele na Madee

Bifu la Afande sele na Madee

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
140
Jmn kwa anaejua bifu lililopo kati ya hawa mahasimu wawili hebu a2pashe kwann hawa wa2 hawaelewani,.
 
Wanatafuta Umaharufu tu hakuna bifu wala nini.
 
Madee alifunguka kwamba hakuna bifu lolote labda kama umelianzisha wewe jingine.
 
Beef ya publicity stunt tu;

Mfalme gani ana rasta chafu?-Madee(anamdiss afande sele kwamba yeye ni mfalme wa ryme lkn ana rasta chafu)
Rais gani hana ofisi?-Afande sele(anamdiss madee kwa kujiita rais wa manzese lkn hana ofisi)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom