Bids ni kitu gani??

Bids ni kitu gani??

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
wakuu nilikuwa naomba kuuliza juu ya bids hasa nikitu gani??
hii kitu nimeiona kwenye bidhaa za kununua online kama eBay utakuta kama ni sim imeandikwa bei yake kwa mtindo huuu

buy now $500
bids $150
hapo huwa wanamaanisha nini hasa na je? kama unataka kununua kwa bei ya bids inabidi ufanyaje??
 
kiswahili tunasema mnada.

ukieka bid 150 halafu wewe ukawa ndio highest bidder unachukua hio bidhaa ila ikitokea mtu akaeka 151 mchezo unaendelea hadi apatikane atakaetoa hela kubwa zaidi ndio apate bidhaa.
 
Sasa si wanaweza kuendelea ku-bids-sha mpaka ifike hiyo 500?

Au kuna ukomo?
 
hakuna ukomo wa bei ila kuna ukomo wa mda wa huo mnada mda wake ukiisha alieweka dau kubwa anabeba
 
Sasa si wanaweza kuendelea ku-bids-sha mpaka ifike hiyo 500?

Au kuna ukomo?

hata mbid mfike trilion 100 wao kwao ni faida ndo wanapopatia hela.

mfano galaxy s3 inauzwa 600,000 unaambiwa buy now kwa laki 6 au kwa mnada 50 wewe ukieka 50 mwenzako anaeka mia mnapanda hadi mtapofika kikomo. so ikizidi ikanunuliwa kwa laki 7 kwao wao ni furaha sababu wanapata cha juu
 
mkuu swali jingine je unapo pandia bei kwenye huo mnada unakuwa unapandia bei kimaneno au unatuma na pesa kabisa??

au inakuwa kama wanavyouzaga nguo au wale matapeli wa simu?? akisema elfu 60 ww unasema 65 kwamaneno bila kutoa hera then mwingine 65 mwingine 75 hivyohivyo bila kutoa hera??
na wamwisho ndio anatoa hera?
 
..........kwenye huo mnada unakuwa unapandia bei kimaneno au unatuma na pesa kabisa??
  • Ni kitarakimu tu, hautumi pesa kabisa. mfano wenzako kaishi USD 21 wewe waweza andika USD 21.5
........au inakuwa kama wanavyouzaga nguo .......
  • Ni sawa kabisa ni kama minada ya nguo, dau linakuwa likiongezeka.
akisema elfu 60 ww unasema 65 kwamaneno bila kutoa hera then mwingine 65 mwingine 75 hivyohivyo bila kutoa hera??
na wamwisho ndio anatoa hera?
  • Haswa ndio jinsi ilivyo.
Mfano hai ni huu. Nilishinda mnada kwa USD 0.5 zaidi ya yule aliyekuwa top
d0mvy9

Angaliz
  • Shiriki mnda kwa kitu ambacho kweli unakihitaji
  • Usipofanya hivyo, iwapo utashiriki na ukashinda kisha hujafanya malipo, seller hutoa taarifa ebay, na utawekwa kwenye records, hivyo hutaweza kushiriki mnada mwingine labda ukibadili user account.

Back
Top Bottom