Kariakoo mtaa wa congo na kiungani Dar ea Salaam.Unapatikana wap?
Quantity?mwenye uhitaji wa solar panel nlileteewa frm uk nnazo 100w nauza 165000 nauza maana nmepata kubwa zaidi zpo goba dsm 0624078252
160kmkuu battery ya maji n100, inauzwaje
kariakoo congo na kiungani 0678361222Unapatikana wap?
taaa hii bei gani nataka kama tatu hivi
Habari wanajamvi,
Kwa mahitaji ya bidhaa za solar power wasiliana nami tufanye biashara, tunauza kwa jumla na rejareja, bidhaa tulizonazo ni pamoja na, solar battery, solar fan, solar wire, tape (gundi) pannels, solar bulb&tube light, inverter, charge controller, nk.
Karibuni.
Invertor inauza being gani?
hapana hatunaMnazo garden lights za solar?
150watts ni Tsh 20,000/=Invertor inauza being gani?
Kariakoo congo na kiunganiUnapatikana wap?
240k na 280k respectivelyPanel za watts 150 na battery za N150, ni shillingi ngapi?
ni 8000 mojataaa hii bei gani nataka kama tatu hivi