Huramabi2
Member
- Dec 11, 2014
- 20
- 3
Pata maelezo toka bodi ya Biashara za nje ili ujue walaji wanahitaji nini huko. Kuhusu mtaji waza vema mtaji mkubwa ni faida kubwa. Kopa ukishakuwa na hakika ya aina ya biashara usiwaze mambo ya mtaji mdogo.
Kuliko uwaze kufanya biashara za mtaji mdogo nje ya nchi ni bora kufanya ya mtaji mkubwa ndani ya nchi.