Biden atashinda, Trump is done

Nimependa hiyo ya senate kuhesabu na kuhakiki kura zote.Inapunguza vote rigging.

Iwapo electoral college vote ndio muhimu basi kuna haja gani ya kuwa na popular votes
Kama ukisoma kwa makini, utaona popular votes ndio zinakupa electoral college kwa kila jimbo.

Pitia taratibu tu kuna taarifa zote muhimu...
 
Ile NEC ya Marekani ni kama hii ya kwetu au yenyewe ipo huru?
Marekani hawana NEC boss. Wana chombo cha kusimamia sheria za kampeni hasa suala la fedha kwenye kampeni (FEC), na kisha uchaguzi iwe wa Shirikisho, Jimbo ama ngazi ya "Mitaa" yanasimamia majimbo husika.

So hawana Electoral Comission kama NEC ya Bongoland
 
Tatizo electoral college hawafati matukio na trending .

Na huko wamjeaa white supremacists kibao

Trump Ni mtu anayesukuma ajenda zao.

Trump on kkk

"Stand back and standby...[emoji44]" He call them proud Boyz[emoji1787][emoji1787]
 
1. michango kwa Biden inaonekana kuna walakini, kuna wachangiaji hawajulikani wamekua wakichangia kiwango kikubwa sana (unakuta mtu hatajwi ila amechangia more than 1mil)...... hili linaleta hisia kwamba huyu ni wakala tu


2. kampeni manager wa Biden amesema polls nyingi zinawalakini, amesema biden haongozi kama wanavotaka kuaminisha watu........... lkn pia kuna upendeleo mkubwa sana kwa biden, media na polls inaonekana zinampa positive image!


n.b/ kwenye town hall ya juzi hajaulizwa kabisa kuhusu laptop ya Hunter, kiasi inazidisha ukweli kwamba media zinampa an easy ride huyu bwana!
 
4. Pollsters wanaweza kuwa target wapiga kura wa mlengo fulani ili wapate matokeo wanayoyataka!


Sidhan kama hata wa marekani wenyewe wanaziamini tena hizi polls, sioni tofauti yake na media kama cnn
 
Hii ni 2020. Sioni Trump akishinda. I trust Americans and their sense of good judgement. Ila ikitokea Trump akashinda basi imani yangu kwa marekani na wamarekani itapungua sana
umewahi kumsikiliza Biden? mtu yeyote timamu hawez mpa kura Biden, ushindi wa Biden ni kumpa uraisi Kamala Harris kitu ambacho hawawezi kufanya!
 
umewahi kumsikiliza Biden? mtu yeyote timamu hawez mpa kura Biden, ushindi wa Biden ni kumpa uraisi Kamala Harris kitu ambacho hawawezi kufanya!
Namsikiliza Biden na Trump kila siku. Mtu mwenye akili timamu na utu ndani yake hawezi kumpa kura Trump
 
Namsikiliza Biden na Trump kila siku. Mtu mwenye akili timamu na utu ndani yake hawezi kumpa kura Trump
sawa, kama unaweza mpa kura mtu anaepoteza kumbukumbu then fine, it means you are voting for Kamala......


then again, taarifa nyingi tunazopewa kuhusu trump ni fake, media nyingi hazimpi coverage nzuri!
 
sawa, kama unaweza mpa kura mtu anaepoteza kumbukumbu then fine, it means you are voting for Kamala......


then again, taarifa nyingi tunazopewa kuhusu trump ni fake, media nyingi hazimpi coverage nzuri!
Nani anapoteza kumbukumbu? Una ushahidi?

Tunapewa taarifa feki? Lete mfano labda maana maamuzi, maneno yote anayozungumza yako wazi sasa sijui unazungumza nini
 
Huu ndo ushahidi? Ndo diagnosis hii? Yani mtu kusahau maneno mawili matatu ndo tayari nongwa?. Wewe hujawahi kusahau/kupoteza kumbukumbu?
Unataka ushahidi wa aina gani boss? Tafuta mwenyewe video zake za aina hii tangu aanze kampeni. Hayupo wa kukukusanyia ushahidi. Ukipewa pa kuanzia unaendelea hata kama chongo ni kengeza kwako!
 
The difference this time maybe cz Biden mwanaume.,

Hillary kuwa mwanamke na fact kuwa mumewe ashakua mjengoni low key ilimrudisha nyuma.,
 
Kile chama alichoanzisha pdidy cha black people ni noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…