Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,252
- 9,305
The silent majority.Sijui uko wapi. Lakini kama uko Marekani, basi utagundua kuwa watu wengi wanaomuunga mkono Trump huwa hawapendi kusema sema hadharani kuwa wanamuunga mkono.
Na hiyo ni moja ya sababu inayoweza ku skew hizo opinion polls...
Wote ni wa hovyo tu, vizee visivyo na maana yoyoteImebaki wiki tatu lakini naamini
Biden keshashinda na Trump keshashindwa.
Nimeangalia factors tofauti
1. pesa ..siku zote mgombea anaeweza changisha hela nyingi anashinda
Biden kamzidi Trump Kwa mbali
2. swing states..
Ohio na Florida kote Biden ana lead
3. Pandemic.
Hili mradi ni main news Trump hawezi shinda..
Naona Biden atakuwa new President
Trump is done..
Huyo sio jiwe hata akishindwa anaachia kiroho safiMtamuua baba wa watu kwa presha. Maana daima anajihesabu yeye mshindi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kweli kabisa. Mwalimu wetu wa Civics O level alitudanganya kwamna hii electoral college ni Wamarekani wachache ambao wamesoma na wana hela ndo wanapiga kura na kuamua hatima ya urais wa Marekani. Nilivyokuja kugundua kuwa alitutia changa la macho nilicheka sana
Huu pia ni uongo mwingine uliozagaa kwa Watanzania wengi kuhusiana na "electoral college votes", kwamba ni kura ambazo zinapigwa na Wajumbe wa baraza la uchaguzi...!! Mkuu Nyani Ngabu hebu tolea ufafanuzi kinaga ubaga juu ys mfumo wa electoral college votes. Naona huyu nae ni mhanga wa uongo kama ambavyo mimi nilidanganywa na mwalimu wa Civics O level. Uzalendo Wa KitanzaniaKura za maoni ( Opinion polls) & kura za wengi ( Popular vote) hazina maana yeyote kwenye kuamua nani awe Rais zaidi ya kuonyesha maoni ya wapiga kura!
Uamuzi wa nani awe Rais wa Marekani unafanywa na Wajumbe wa Baraza la Uchaguzi ( Electrol College) na si vinginevyo.
Kusema Trump atashindwa eti kwa sababu ya maoni ya Wamarekani ni kichekesho kikubwa.
Mfumo huo uliwekwa mahsusi kubalance Matokeo ya Uchaguzi ili Kuzuia baadhi ya majimbo yenye wapiga kura wengi au Jamii ya Watu walio wengi au Chama chenye wafuasi wengi kuamua nani awe Rais! Pia unazuia kura za MIHEMUKO Kwenye kuamua nani awe Rais wa Taifa hilo kubwa Duniani.
Wajumbe wa Baraza ndiyo wamepewa majukumu Kisheria na kwa mujibu wa Katiba kuchagua Rais wa Marekani kwa niaba ya Wamarekani Wote!
Kuna Kampeni zimeshika Kasi kufuta Mfumo huo wa kuchagua Rais kwa kutumia Baraza la Uchaguzi ila utahitaji upitishwe na Baraza la Wawakilishi, Seneti na Kupigiwa kura na Wamarekani Wote
Not this time. Even The Gentleman from South Carolina, Sen. Lindsey Graham has acknowledged that; The Democrat's are winning the White House.The silent majority.
Huu pia ni uongo mwingine uliozagaa kwa Watanzania wengi kuhusiana na "electoral college votes", kwamba ni kura ambazo zinapigwa na Wajumbe wa baraza la uchaguzi...!! Mkuu Nyani Ngabu hebu tolea ufafanuzi kinaga ubaga juu ys mfumo wa electoral college votes. Naona huyu nae ni mhanga wa uongo kama ambavyo mimi nilidanganywa na mwalimu wa Civics O level. Uzalendo Wa Kitanzania
😁😁Haitakaa itokee Biden akashinda uchaguzi
Wananchi ndo wanaochagua ndio maana wanaenda kupiga kura. Hao wajumbe unaowasemea wao wanapiga kura mshindi akiwa ameshajulikana Ni Nani, na ndio maana wanapiga kura wiki kadhaa baada ya Uchaguzi na Ni vigumu kubadilisha matokeo kwani huenda Kama kumuidhinisha Rais mteule.Kura za maoni ( Opinion polls) & kura za wengi ( Popular vote) hazina maana yeyote kwenye kuamua nani awe Rais zaidi ya kuonyesha maoni ya wapiga kura!
Uamuzi wa nani awe Rais wa Marekani unafanywa na Wajumbe wa Baraza la Uchaguzi ( Electrol College) na si vinginevyo.
Kusema Trump atashindwa eti kwa sababu ya maoni ya Wamarekani ni kichekesho kikubwa.
Mfumo huo uliwekwa mahsusi kubalance Matokeo ya Uchaguzi ili Kuzuia baadhi ya majimbo yenye wapiga kura wengi au Jamii ya Watu walio wengi au Chama chenye wafuasi wengi kuamua nani awe Rais! Pia unazuia kura za MIHEMUKO Kwenye kuamua nani awe Rais wa Taifa hilo kubwa Duniani.
Wajumbe wa Baraza ndiyo wamepewa majukumu Kisheria na kwa mujibu wa Katiba kuchagua Rais wa Marekani kwa niaba ya Wamarekani Wote!
Kuna Kampeni zimeshika Kasi kufuta Mfumo huo wa kuchagua Rais kwa kutumia Baraza la Uchaguzi ila utahitaji upitishwe na Baraza la Wawakilishi, Seneti na Kupigiwa kura na Wamarekani Wote
Mkuu hivi mnajikutaga kisa mnajua vimaneno maneno vya english ndo mnajikuta mnajua siasa au?? Yani unalopoka tu shadow governent utafkiri aliiunda babu yako.Shadow government ndio iliyomweka pale trump kipind ameshindwa na hilary..na ndo kitakachotokea hata kwa biden..trump yupo kimkakat pale marekan...waalikua wanahitaj rais chiz ambae kwa macho ya dunia lawama zote atatupiwa trump kwa yanayofanywa na marekan..na sio marekan..so decisions znazofanywa na marekan now ambazo znaonekana ni mwiba znawanufaisha marekan zaid ya lawama....wazungu ni racists..wazungu watemi.etc..ndo wanachotaka hko so trump anawaafaa zaid
Unahis shadow government hazipo?au unaelewaje maana ya shadow government..mbona hata bongo ipo...watu wanaoamua mustakabal wa nchi hata kama wanavunja democrasia.umoja etc...Mkuu hivi mnajikutaga kisa mnajua vimaneno maneno vya english ndo mnajikuta mnajua siasa au?? Yani unalopoka tu shadow governent utafkiri aliiunda babu yako.
Kumbe ndio The silent majority yenyewe inayosemwa. Nimekuelewa sana hapaSimple!
Ni kwa sababu ya blowback wanayoweza kupata.
Liberals/ Democrats wanapenda sana shari. Kwa mfano tu, hizi ghasia za mwaka huu huko Marekani unadhani ni washabiki wa nani wale waliokuwa wakizifanya? Republicans or Democrats?
Mtu hata kwa mfano ukivaa MAGA hat hadharani, uwezekano wa wewe kuwa harassased ni mkubwa sana.
Ndo maana baadhi ya watu wanaomuunga mkono wanaona kunyamaza ni bora zaidi kuliko blowback watayoipata lakini ikija siku ya kupiga kura, kwa sababu kura ni siri ya mtu, wanampigia kura mgombea wao.
NB: hiyo haimaanishi kwamba Trump atashinda au la...but it is the case.
Poll: Clinton leads Trump by double digitsTrump yupo nyuma sana katika kura za maoni
Unataka kujenga hoja gani hapo?