Bicycle for sale

Bicycle for sale

Kuna kampuni moja ilikuwa Arush miaka ya 2010 /2011 walikuwa wanauza na ku service specialized bikes. Na bike ya bei ya chini ilikuwa ni $800.
Mwendo wa shimano! Ni kampuni ya wazungu na kwa sasa imejikita kwenye Bicycle safaris peke yake.
 
Jamani laki name kwa bike used ni ghali, mi nilinunua Giant ya mtumba laki moja Na nusu. Labda kama mwaweza kutuambia unaposema specialized unazungumzia mini hasa inayoifanya iwe specialized?
 
Mkuu specialised ni kampuni kama unavyosema nokia, tecno, au samsung kwa simu. Ni outstanding company inajiita tu specialised, kuna nyingine kama TRECK etc

Hii bike sijaitumia kiviile kutokana na terrain na miundombinu ya bongo hasa huku porini. Imeundwa 2014 (ingawa kibongo bongo mwaka wa bike kuundwa sio ishu-tunajuaga magari tu)
 
Back
Top Bottom