Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

Basi kuna ndugu zetu humu ukiuliza ufafanuzi zaidi kuhusu sehemu za bible zenye ukakasi watakuambia hutakiwi uliza kiundani mara wakuulize dini kwanza yaani shida tupu
tunaamini Mungu na operation zake ni infinity wakati sisi ni finite being with finite mind.
Kitu kikubwa kwenye bibilia mwanadamu anatambulishwa kwa Mungu wake. ili awe na ukaribu na urafiki wa kina na huyu Muumbaji wake, kitu kikubwa na cha awali anapomwendea huyu Muumba wake ni kutambua yeye hana chochote na hawezi chochote nje ya mahusiano hayo..
Urafiki wa kina na Mungu kwa njia ya Maombi na kutafakari maneno yake, kuzungumza naye bila kukata mawasiliano yatakufanya muelezane mambo mengi ambayo kwa kukwepa haya mahusiano yq kiumbe na muumba wake wengi wamejikuta kuzama kwa kujikita kwenye elimu na masimulizi ya kizee na ya uongo na wanafananishwa na mtu aliyeingia na sururu kuchimba shimbo hewani.

Kwangu mimi ukiniuliza bibilia ni nini, nitakwambia ni kitabu cha mahusiano kati ya Mungu na mwanadamu. One to one close intimacy relation. Hili alilifanya Ibrahim Mungu akamuita ni Rafiki yake wa Milele.
 
undefinedhistory ya yesu,ukiifuata ukaweka timeline,matukio yote hayazidi wiki mbili,kuanzia apate ubatizo wa yohana,hujakaa sawa yuko galilaya,ghafla huyoo anakwenda jerusalem na hapohapo anatundikwa msalabani,too short,undefinedsasa kuna maandiko mengine kumuhusu yesu akiwa bado mdogo,yakafichwa na ama kukataliwa,walikuwa wanaficha nini ndo swali la kujiuliza,undefinedkuhusu Daud kuwa homesexual,mbona ushahidi uko ndani ya bible,japo hawasemi direct lakini ukisoma unaelewa tu,wala sikutoa nje ya maandiko
 
ZABURI. 1
1. Heri mtu yule asiyekwenda
Katika shauri la wasio haki;
Wala hakusimama katika njia ya wakosaji;
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
2. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo,
Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
3. Naye atakuwa kama mti uliopandwa
Kandokando ya vijito vya maji,
Uzaao matunda yake kwa majira yake,
Wala jani lake halinyauki;
Na kila alitendalo litafanikiwa.
4. Sivyo walivyo wasio haki;
Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
5. Kwa hiyo wasio haki hawatasimama hukumuni,
Wala wakosaji katika kusanyiko la wenye haki.
6. Kwa kuwa BWANA anaijua njia ya wenye haki,
Bali njia ya wasio haki itapotea.
 
undefinedhttp://www.bbc.co.uk/blogs/ni/2011/07/was_king_david_gay.html
 
undefinedhttp://www.bbc.co.uk/blogs/ni/2011/07/was_king_david_gay.html
 
Mkuu nafikiri hujasoma uzi wangu wote ukauelewa hoja hapa haikuwa Daudi ni shoga au sio shoga bali hoja ni kwamba je kwanini huwa mnataka reference kutoka ndani ya Biblia pekee ilihali bible imetoa mpaka nje ya Biblia??

Mfano Biblia kwenye kitabu cha Yuda inaquote kitabu cha Henoko ambacho kinakiri kuwa malaika walizaliana na binadamu kitu ambacho Biblia inapinga je na sisi tukiquote Kitabu cha Henoko tutakuwa sahihi??

Naposema upagani sio maneno yangu bali Kanisa zima sio protestant wala catholic wanaviterm vitabu vya Pseudepigrapha kama mafundisho ya uongo maana yanakinzana na Biblia..... Mfano kitabu cha Yasher biblia inakinakiri lakini jasher ukikisoma kinakinzana na Biblia maeneo mengi sana ndio maana havina credibility

Sasa ww unayesema hivo vitabu sio vya kipagani je unakubaliana na misimamo ya Henoko na Yasheri juu ya kukinzana na vitabu vya kibiblia?? Je unaamini gharika lilikuja sababu ya malaika kuzaa na wanadamu na sio dhambi za walimwengu kama bible inavyosema??

Embu tuwekane sawa hapo
 
Una maana gani kuleta hiki kifungu hapa?? Unafkiri kuhoji ndio hatufahamu Biblia?? Na hii ndio shida ya JF mtu akihoji tu masuala ya imani anaonekana shetani na hii ndio inafanya reasoning zetu hazikui

Sasa mfano mtu anaambiwa mnara wa babeli ulijengwa kufikia mbinguni.... Hivi kwani mbingu iko mawinguni?? Hilo nalo ukihoji dhambi?? Je akitokea mpagani unamhubiria akakuuliza hilo swali ukishindwa kujibu unategemea ataokoka??

Narudia tena tupende kuhoji ili tufunguke zaidi.... Na mmi tangu nianze hii mijadala yangu humu mimi binafsi nmejikuta nasoma sana maandiko ya dini zote sio Quran sio Biblia sio Talmud ya wayahudi na nyie mjijengee huo utaratibu wa kujihoji maswali ili mchimbue maandiko sio kutoa kejeli tu hazisaidii ndio maana mkikutana na waislam ni rahisi kuwaangusha kwenye mijadala ya maandiko.
 
Well and good kwahiyo Yuda alivyotumia reference ya kitabu cha Henoko alifanya dhambi??

Kwahiyo Joshua alipofanyia Kitabu cha Yasheri kama reference alifanya dhambi?

Duh sikufahamu hili nashukuru kwa kunifungua macho..... Kwahiyo nao watateketea kwa moto siku ya mwisho??
 
Mkuu mitale na midimu nimesoma hoja yako na nimeielewa ila labda ungenisaidia kujibu haya maswali ili tuwe page moja

1. Je kama waandishi wa Biblia waliquote baadhi ya vitabu ambavyo leo hii havitambuliki na kanisa.... Sisi je tukiwaiga na kujengea hoja kupitia hivyo vitabu tutakuwa sahihi??

2. Niliuliza pia kwamba kuna baadhi ya vitabu nilivyotaja hapo juu vinatambulika kama LOST BOOKS OF THE BIBLE.... Ikimaanisha vilikuwa halali toka enzi za kina Daudi ila VILIPOTEA... Sasa swali linakuja je ina maana Biblia haipo complete sababu kuna baadhi ya script zilipotea?? Na pia nini hatma ya Biblia kama maneno ya Mungu ilihali yanaweza kupotea??

3. Pia nimeuliza kama Vitabu hivyo vilikuwa quoted na waandishi wa Biblia je ni kwanini havipo kwenye Biblia?? Na kama havipo ina maana sio halali sisi kutumia?? Na kama sio halali je kivp mitume walivitumia??

Natanguliza shukrani zangu
 
ok unataka kutuambia nini kwenye mjadala wako???
 
ok unataka kutuambia nini kwenye mjadala wako???
Kwamba kwa kuwa waandishi wa Biblia walitumia reference za vitabu nje ya Biblia je na sisi wakristo wa sasa ni sawa tukijengea reference ya matukio ya Biblia kwa vitabu vilivyo nje ya Biblia??

Na kama ni sawa ni kwanini basi mfano wa humu JF tukijengea hoja let's say ya maisha ya Yesu au Cain kutumia vitabu vya nje ya Biblia wakristo wa humu huwa wanapinga hizo hoja kwa kusema kuwa '' hivyo vitabu tulivyotumia havimo katika bible hivyo hoja hazina mashiko''

Nini ni mtazamo wako katika hili....
 
Sasa kama Lutu aliweza kulala na binti yake kwanini unaamini daudi hawezi fanya uhuni?? Mbona alimlala mke wa mwanajeshi wake na baadae akamuua kabisa?? Who is David mpaka asifanye huo uhuni??
Na kuna other schools of thoughts kuwa Noah aliingiliwa kimwili na kuhasiwa na mwanawe ili asipate mtoto wa nne ndio hasira zake kumlaani mtoto wa nne.
Google.com.Catholic dictionary.
 
Nyie ndo huwa mnaharibu mada nzuri za Zitto juniour ambazo huwa zinatufungua ubongo.
Nyie hizi zenu mnachokonoa mistari yenye maana tofauti kabisa na tafsiri zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…