Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 12,274
- 6,435
Kwanini Yesu na sio Yehova?umenisisimua mahali
ndiyo maana nikawa nashangaa Y? ukitaja jina la YESU mapepo na mambo mabovu yanakimbia/kuweweseka?
lakini nikawa najiuliza Y? ukitaja jina la Mtume (Saw) yaani hata mapepo haya ropoki
asee hapo NIMEPATA kitu