Doctor Stranger
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,202
- 6,143
- Thread starter
- #101
Hakuna aliye taja siku ya mwisho!Yesu alisema hakuna anayeijua siku ya mwisho isipokuwa Mungu mwenyewe.
soma kwa makini.
Hizo ni ishara za kuja kwa kristo.. kutukomboa kutoka katika utawala wa shetani..!
ndio maana nasema mwisho wa ulimwengu nikimaanisha mwisho wa ulimwengu ulio mikononi mwa shetani..