Biblia inasemaje kuhusu mwisho wa ulimwengu

Yesu alisema hakuna anayeijua siku ya mwisho isipokuwa Mungu mwenyewe.
Hakuna aliye taja siku ya mwisho!
soma kwa makini.

Hizo ni ishara za kuja kwa kristo.. kutukomboa kutoka katika utawala wa shetani..!

ndio maana nasema mwisho wa ulimwengu nikimaanisha mwisho wa ulimwengu ulio mikononi mwa shetani..
 
Titus akiwa na jeshi la Roma waliuzinguka yerusalemu jamaa walitumia chakula mpaka kuisha ilifikia nyakati walianza kula binadamu. Ndipo Tito akaamuru Jeshi kuingia na kuwapiga hasa na yale aliyotabiri Yesu yakawa yametimia.

Pia kuna Alexander mkuu wa uyunani alipigana vita kubwa sana kipindi akiwaondoa waajemi katika utawala wao watu wengi pia walipoteza uhai.
Mkuu kwa kukusaidia hata utawala wa alexander the great ulitabiriwa na biblia hata kabla hajazaliwa na hata kudondoka kwa ufalme wake..! vyote vilitabiriwa.

Bado vita ya kwanza ya dunia inabaki kua vita kubwa kuwahi kutokea..!
 
hao wafia dini ni washenzi sana na wana vichwa vigumu biblia yenyewe inasema ni DUARA kwenye
Isaya 40 : 22 Kuna Yule anayekaa juu ya duara ya dunia, Na wakaaji wake ni kama panzi. Anazitandaza mbingu kama wavu laini
😅😅 unanipa mstari mmoja kuan mistari zaid ya ishirini inasupport dunia ni flat
 
Biblia inatuambia hii ndiyo ishara ya mwisho wa ulimwengu.

Watu kujali pesa na kujipenda wenyewe.

Yataibuka Magonjwa ya kuenea
Njaa, Vita baina ya mataifa pamoja uhalifu kushamiri

watu watampinga Mungu..Hadharani

Watoto hawatowatii tena wazazi wao.

Wataibuka manabii wengi wauongo..na watatenda miujiza mingi.kwa kutumia jina la yesu

na mengine mengi katika ufunuo,mathayo.nk

Na haya hayana budi kutokea..
Dunia haiwezi kufika mwisho. Bali wewe ndio ndio unafika mwisho. Dunia yako ipo kwa sababu wewe upo. Ukiwa haupo na dunia yako inatoweka.
 
Mkuu kwa kukusaidia hata utawala wa alexander the great ulitabiriwa na biblia hata kabla hajazaliwa na hata kudondoka kwa ufalme wake..! vyote vilitabiriwa.

Bado vita ya kwanza ya dunia inabaki kua vita kubwa kuwahi kutokea..!
Ni kweli kabisa sijakataa ila hata hizo vita pia watu wengi mno waliangamia.
 
Mkuu kwa kukusaidia hata utawala wa alexander the great ulitabiriwa na biblia hata kabla hajazaliwa na hata kudondoka kwa ufalme wake..! vyote vilitabiriwa.

Bado vita ya kwanza ya dunia inabaki kua vita kubwa kuwahi kutokea..!
Alexandra the great,ametawala caanan karibu miaka 300,maandiko hayakusema lolote
 
Sasa niambie ipi vita kubwa iliyo leta madhara kati ya hizo na ww1
Unajua Alexander the great kapigana vita nyingi sana za kibabe hasa ila ukifuatilia in details hupati figure halisi ya idadi ya watu waliopoteza maisha moja kati ya vita zake kubwa ni Ile na wa Persia iliondoa watu wengi mno ila vita kama hizi za WWI, WWII imekuwa rahisi kupata information zake kwendana na uhalisia wa kiteknolojia kwa utofauti wa nyakati. Japo upo sahihi WWI watu wengi walipoteza maisha.
 
Back
Top Bottom