Bible In Which Jesus Foretold The Coming Of Prophet Muhammad Found!

Bible In Which Jesus Foretold The Coming Of Prophet Muhammad Found!

Status
Not open for further replies.
hivi jamani waislam hawawez kuhubiri dini yao bila kuutaja ukristu?ina maana bila ukristu hawana cha kuongea?yaani kazi yao kubwa ni kutaka kuufananisha uislam na ukristo.mara yesu hivi mara yesu vile.mbona sisi makanisani tunahubiri tu bila kuutaja uislamu?why??????
 
1Yohana 22-23 "Je, mwongo ni nani? Mwongo ni mtu yule asemaye kwamba Yesu si Kristo. Mtu wa namna hiyo ndiye mpinga Kristo, yaani, yeye humkana Baba na Mwana. Hakuna ye yote amkanaye Mwana aliye na Baba. Ye yote anayemkubali Mwana anaye na Baba pia"
 
Sio kama waislamu wanataja ukristo,soma vizuri makala ya gazeti,kwamba Papa ndio anayetaka kuiona hiyo biblia.Kwa nini mnashindwa kuelewa,na mleta uzi ,ametoa kutoka kwenye website
 
Sio tu anawakosesha raha,pia huwa wanataka kujifariji kua din yao ni sawa na din ya yesu,watu wajinga siku zote hupenda kujilinganisha na watu flan ili kuona kuwa wao pia wako level moja,waislam wakilala,wakiamka ni Yesu tu wanawaza.

japo inaweza kuwa nje ya mada, ningefurahi kufahamu kwanini Yesu tunamtambua kama kristo au masihi?
 
hakuna yesu alie itwa kristo...never in history.....
yesu kristo ni imaginary figure wa paulo...



2 Peter 3:16
As also in all his epistles, speaking in them of these things, in which are somethings hard to understand, which those who are untaught and unstable twist to their own destruction, as they do also the rest of the Scriptures.

Ndugu ata useme vipi Hakuna sehemu unayoweza kupona au kupata maandiko yakulinde!

Ukweli utabaki pale pale! Ata ukimshambulia Poul haisaidii kitu ni kawaida ya mwanadamu asieamini kupotosha ukweli!

Yesu atabaki kua na Sifa zake zote!
 
wacha uumbwa wewe,dini ya majini ya mama yako??futa kabisa tukianza udini humu jamtakalika

unapoteza mda, cha msingi fuata kile unachoamini wewe, na usitake nikubali na kuamini kile unachoamini wewe
 
hakuna yesu alie itwa kristo...never in history.....
yesu kristo ni imaginary figure wa paulo...



1 John 2:22

Who is lier but he who denies that Jesus is a Christ? He is Antichrist who denies the Father and the Son.

Kazi kwako Hakuna pa kukwepea!
 
Head teacher, sidhani kama waislam wanamgombea yesu ila cha msingi ni kujua amefanya nini kwa mtazamo wa vitabu vitakatifu. Allah ni neno la kiarabu maana yake MwenyeziMungu,mola wa walimwengu wote. Na majini ni viumbe tu. Na dini lazima iwe moja kwa hiyo ni jukumu la kila mmoja kusoma na kuelewa kwa dhati juu ya dini. Kumbuka kaburini kila mtu atakuwa pekee na siku ya kiama ataulizwa mwenyewe.

Umeongea point..
 
Ushauri wangu kwa Waislam fuateni yenu achaneni na jina kubwa kupita majina yote chini ya jua na juu mbinguni Yesu Kristo wa Nazareth
 
Uislam ni dini ya kugushi kutoka ukristo na uyaudi kwa lengo la kupotosha ukweli ndio maana unajifananisha na ulipogushiwa,
hivi jamani waislam hawawez kuhubiri dini yao bila kuutaja ukristu?ina maana bila ukristu hawana cha kuongea?yaani kazi yao kubwa ni kutaka kuufananisha uislam na ukristo.mara yesu hivi mara yesu vile.mbona sisi makanisani tunahubiri tu bila kuutaja uislamu?why??????
 
Hiyo Bible fake yaweza kuandikwa na yeyote. Nyingi zimekuja na kupita. Hata Quran walioitunga walisoma kwanza Biblia. Ila pia kuna Biblia nyingi zinatumika makanisani nazo pia zimechakachuliwa
 
Acts 4:12

Nor is there salvations in any other, for there is no other name under heaven given among men by which we must be saved.

Huu ndio ukweli uliopo! Ni jina moja tu limpasalo mwanadamu kuokolewa kwalo! Yesu Kristo!

Without shedding of blood there is no remission. Hebrews 9:22

Sasa Km unakataa Yesu hakusulubiwa utapata vipi ondoleo la ZAMBI?

Tafakari sn!
 
JE YESU WA WAKRISTO NDIYE YULE ISA WA WAISLAM? Mara kwa mara, unaweza kuwasikia Waislamu wakisema kuwa Isa a.s. kama anavyotajwa ndani ya Qur’an tukufu, ndiye Yesu Kristo wa Nazareti, kama anavyotajwa ndani ya Biblia Takatifu. Wanafanya hivyo kwa kulinganisha baadhi ya aya zilizomo ndani ya Biblia Takatifu, na zile zilizomo ndani ya Qur’an. Kwa mfano, wanasema kwa mujibu wa Biblia mama yake Yesu Kristo anaitwa Mariamu. Wanasoma katika Injili ya Marko 6:3-4“Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose na Yuda na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake” . Wanafananisha aya hiyo na ile iliyomo ndani ya Qur’an katika Suratul Al-Maidah, 5:75 “ Masih bin Maryam si chochote ila ni mtume tu……”, Hoja nyingine wanayoitumia ni kusema kwamba eti jina Isa ni katika lugha ya Kiarabu. Jambo hilo siyo kweli. Kwa sababu katika lugha ya Kiarabu, Yesu anaitwa Yasu’a siyo Isa. Na ikumbukwe kuwa Biblia ndicho kitabu kilichotangulia kuwepo duniani miaka ipatayo 1500 kabla ya Qur’an. (Qur’an is a post Bible book). Hoja yetu kwa Waislamu ni hii nani aliyebadilisha jina Yasu’a kuwa Isa?. Jina Yasu’a linashabihiana zaidi na Jina Yehoshua ambalo hilo ni katika lugha ya Kiebrania, na katika Kiyunani lugha iliyotumika kuandika Agano Jipya anaitwa Iesous (tamka Yesu) tafsiri ya maneno hayo kwa lugha ya Kiswahili ni Mwokozi. Tunasoma hayo katika Math 1:21-23 “ Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana yeye ndiye atakaye waokoa watu wake na dhambi zao. Hayo yote yamekuwa ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa Nabii akisema Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.” Hoja yetu Je Isa a.s naye ni Mwokozi na Imanueli kama alivyo Yesu Kristo?. Jambo jingine tunalopaswa kulizingatia tunapoangalia tofauti zao ni kuhusu mama zao. Mama yake Yesu Kristo ni Mariam anayetoka katika ukoo wa Yuda. Tunasoma hayo katika kitabu cha Mwanzo 49:10 “ Fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda, Wala mfanya sheria kati ya miguu yake,Hata atakapokuja Yeye, mwenye milki,Ambaye mataifa watamtii”. Unabii huu umetimia kwa Yesu Kristo.Tunasoma hayo katika Waebrania 7:14 “Maana ni dhahiri kwamba Bwana wetu alitoka katika Yuda, kabila ambayo Musa hakunena neno lolote juu yake katika mambo ya ukuhani” Lakini tusomapo habari za Isa, yeye mama yake anatoka ukoo wa Imrani. Ambaye ni baba yao Haruni, Miriamu na Musa. Tunayasoma hayo katika Suratul Al- Maryam 19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya. Wala mama yako hakuwa hasharati”. fafanuzi unaoifafanua aya hii ya 19:28 uliyomo ndani ya Qur’an, tafsiri ya King Fahd uk. 405, unasomeka hivi “ This Harun (Aaron) is not the brother of Musa (Moses), but he was another pious man at the time of Maryam (Mary)” Tafsiri “Huyu Harun siyo ndugu yake Musa, bali alikuwa ni mtu mwingine tu mcha Mungu, aliyeishi wakati wa kipindi cha Maryam” Kwa mujibu wa Biblia, Haruni ni mtoto wa mzee Amran na mama yao anaitwa Yekobedi na kwao wamezaliwa watoto watatu Haruni, Miriam na mdogo wao Musa. Tunasoma hayo katika kitabu cha Hesabu 26:59 “Na jina la mke wa Amramu aliitwa Yokebedi binti wa Lawi ,ambaye alizaliwa kwake Lawi huko Misri; na huyo Yokebedi akamzalia Amram Haruni,na Musa,na Miriamu umbu lao” Tofauti nyingine ni kuumbwa kwao: ISSA KAUMBWA. Qur’an Suratul Imran, 3:59 “ Bila shaka hali ya Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama hali ya Adam; alimwumba kwa udongo kisha akamwambia: “Kuwa”; basi akawa” Lakini tusomapo kumhusu YESU, YEYE HAKUUMBWA BALI NI NENO LA MUNGU. Yoh 1 : 1,14 “Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu naye Neno alikuwa Mungu……..Naye Neno alifanyika mwili akakaa kwetu…….” Mika 5:2 “ Bali wewe, Bethlehem Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israel; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele” Yoh: 8:58 “ Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahim asijakuwako, mimi niko”. Zaidi ya hayo Biblia inatujulisha kuwa yeye ndiye Muumbaji mwenyewe Yoh 1:3 “Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika” Kol 1:16-17 “ Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana ; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake na kwa ajili yake” 2) (A) ISSA A.S : BAADA YA KUONDOKA KWAKE, (KAMA WAISLAMU WANAVYOAMINI), HAJAWAHI KUTOKEA KWA NAMNA YOYOTE ILE. (B) YESU KRISTO: BAADA YA KUONDOKA KWAKE ALIMTOKEA PAUL (SAUL). Mdo 9:4 “ Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Saul, Saul, mbona waniudhi? Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema , Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe” 3) (A) ISSA A.S: ALITABIRI KUJA KWA MUHAMMAD Quran Suratul As Saff , 61:6 “Na (wakumbushe) aliposema (Nabii) Isa bin Maryamu (kuwaambia mayahudi) enyi wana wa Israili! mimi ni mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu. Nisadikishaye yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati. Na kutoa habari njema ya mtume atakayewajia nyuma yangu ambaye jina lake litakuwa Ahmad(Muhammad). Na maana ya majina mawili yote haya ni moja. Maana yake Mwenye kushukuriwa kwa maneno yake mazuri na vitendo vyake vizuri na kila chake kwani vyake vyote ni vizuri).Lakini alipowajia kwa hoja zilizowazi walisema: “ Huu ni udanganyifu uliyo dhahiri”. (B)YESU KRISTO ALIMTUMA ROHO MTAKATIFU KATIKA SIKU YA PENTEKOSTE.
 
Naomba kujua Yesu wa waislam alizaliwaje na wapi?!

Kama vile kakajamnazi wa JF na yule wa mtaani kwako labda wanakwita kakamealimu lakini ni wewe mmoja tu. Na yesu wa ukristo na wa waislam ni very same person. Tofauti ni tatu tu.
Wa waislam alikua mtume wa Mungu
Wa waislam hakufa kwa hiyo hakukufuka
Wa waislam hakuwa mtoto wa mungu au mungu.
Na yesu wa wakristo ni kinyume chake.
Kuhusu kuzaliwaje au wapo yoye ni ngoma draw.
Lakini kuna yesu mwengine ambaye si wa wakristo wala wa waislam
Huyu ni yeye alizaliwa sawa kama stori ya juu ila alipofika miaka 14 alihamia Kashmir india akakaa for 18 years .huko alijifundisha dini ya kibuda na alipotimia umri wa 32 yrs alirudi tena Bethelem na kuanza kuhubiri hadi alipo kamatwa na kusulubiwa. Huyu hakufa ila alipata majeraha ya misumari so alipotupwa mortuary akaamka na kwa msaada wa Mary magdalena na rafiki zake akatoroka na kutudi tena Kashmir ambako aliishi na kuoa pamoja na wanafunzi wake wachache.
Huko kaburi lake lipo mpaka leo na jamii ya kiyahudi ilio changanya damu ipo
Sehemu alozilwa imehifadhiwa na serikali ya India.Pia kuna alama ya picha ya kuchora ikionesha mguu wa yesu ukiwa na msumari
Sasa kakajambazi kuna yesu dedign 3 kazi kwako kufanya uyafiti nna kuna uwezekano mkubwa wa india kukubali kufanya dna ya mwili wa yesu wa india
 
Isaiah 9:6

For unto us a Child is born,
Unto us a Son is given;
And the government will be in His shoulder.
And His name will be Wonderful, Counselor, Mighty God, Everlasting Father, Prince of Peace.

Huu ni unabii Wa Yesu unaopatikana kwa nabii Isaya tena ukisema wazi kua Huyo Mwana ni Mungu Mwenye nguvu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom