Bibi Tina wa Mwananyamala

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nywele hubeba chaja ya nguvu za giza
Anhaa, sasa kama ni hivi, nikimkamata namchuna na ngozi ya kichwa kabisa. Yani nausambaratisha uchawi wake to infinity [emoji4]
 
Anhaa, sasa kama ni hivi, nikimkamata namchuna na ngozi ya kichwa kabisa. Yani nausambaratisha uchawi wake to infinity [emoji4]
Ni ngumu Unaweza kupewa kimeo cha jinai
 
Huyo bibi nyanga'au hivi najiulizaga kwa nn hayaendi kuroga benki yakawa invicible au stealth kama yale mandege ya kivita ikawa ni mwendo wa kukomba mapene tu??? Nyambafu
 
Huyo bibi nyanga'au hivi najiulizaga kwa nn hayaendi kuroga benki yakawa invicible au stealth kama yale mandege ya kivita ikawa ni mwendo wa kukomba mapene tu??? Nyambafu
Kila kitu kina formula yake
 
Kumbe ukichoma udi mchawi hasogei!!![emoji15] [emoji4] , mi nimepanda mzaituni pembeni, wachawi nawasikia mtaa wa jirani huku hawasogei
Olive au Yale matunda ukila ukijamba ulimwengu wote wanazimia
 
Yaani ooooooh godyyyyyyyyyy
 
Shemeji Mshana kumekucha! Mpe hai Dada yangu wa kingazija
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajambo... Japo natambua wana hawapendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…