Who is allah?
Tambua hili litakusaidia.
Mungu anakaa ndani ya mtu
shetani nae anakaa ndani ya mtu.
(Ni zile sauti unazoongea nazo ki moyomoyo)...
Mangi MuitoriSultan of the Jinis
nenda darful ndo utajua arabs na waafrica ni wamoja in islam!! or not!!?siku ukienda uarabuni ndo utawaelewa utajijua kama ww n binadam au nyani!!darful:slave cannot lead the country
Mangi Muitori
View attachment 246651View attachment 246653View attachment 246654View attachment 246655View attachment 246656
'Ingelikuwa Rahman (Mwenyezi Mungu) ana mwana (Yesu !), basi mimi ningelikuwa wa kwanza kumuabudu.
Ametakasika Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, Mola Mlezi wa Ar'shi, na hayo wanayo msifia (kuwa ana mtoto Yesu !)
Basi waache wapige porojo wakicheza mpaka wakutwe na hiyo siku walio ahidiwa (Kiama !)
Na Yeye ndiye Mungu Mbinguni, na ndiye Mungu katika Ardhi. Naye Ndiye Mwenye Hekima, Mwenye Ujuzi.
Na ametukuka Mwenye Ufalme wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake. Na uko kwake ujuzi wa saa ya Kiyama, na kwake Yeye (watu wote) mtarejeshwa.
Wala hao mnao waomba badala yake Yeye (Allah SWT) hawana uweza wa kumuombea mtu, isipokuwa anaye shuhudia kwa haki, na wao wanajua.
Na ukiwauliza (Makafiri) ni nani aliyewaumba !? Bila shaka watasema: Allah SWT ! Basi ni wapi wanapogeuzwa ?
Qur'an: 43:81-87
Hapa Obama enzi za ujana wake akiwa na bibi yake
Mashaalahh Allah anijaalie nami nisife kabla sijahiji