Hata hao waliopita hawapendi kuonekana vilaza mbele ya huyu wa leo.
Muda si mrefu ataanza kuwafanyia kazi waliomweka alipo na hapo ndo mtaanza kusema bora "Vasco da gama" kuliko huyu na 2025 atamshika mkono mmoja wa watoto wa wakubwa chamani akimnadi apewe Urais kama mchezo wa kuigiza.
Kuna watu bila kumtaja Lowassa hamjisikii vizuri... Mtatafuta stori yoyote tu ya kijinga mmtaje Ngoyae.
Maongezi ya siku nzima nyumbani kwako hiki tu ndo kipande cha maana cha ku-share nasi!???
Ni busara kusoma na kuyaacha kama yalivyo. Baada ya muda watu watatulia na kuelewa nini kinaendelea. Unajua kupona maumivu kuna hatua miongoni mwao ni kujuta, hasira ya kwanini imekuwa vile na baadae watu hutulia.
Tulianza na dhanna ya kujivua gamba waliotuelewa wamejivua, sasa ni ukurasa mwingine, asiejivua na asiyeweza kufanya kazi tutakavyo tunamvua kwa nguvu.
Tulianza na dhanna ya kujivua gamba waliotuelewa wamejivua, sasa ni ukurasa mwingine, asiejivua na asiyeweza kufanya kazi tutakavyo tunamvua kwa nguvu.
Jamani naomba tumuhurumie huyu mzee inasema hasara alioingia katika kuusaka uraisi tangu 2005 hadi 2015 ni takriban Bil 200, ameuza ng`ombe zaidi ya 2000 na baadhi ya Vijanja vyake, ni hasara kubwa mno! anaugulia mengi mwenzenu