Bibi mnoko

Bibi mnoko

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,045
Reaction score
12,541
Bibi kapigwa mtama na kibaka na kuporwa simu yake.Bibi akaanza kumfukuza.Baada ya kuona bibi hachoki kibaka akatupa simu chini na kuendelea kukimbia.Bibi akaokota simu yake na kuendelea kumfukuza tena.Kibaka akauliza.Bibi unataka nini?Simu yako c nishakurudishia!Bibi akajibu,bado mtama.
 
Inaonekana alipitia jeshi74]Baada ya kuzidiwa kwenye gesi amehamia wenye ubabe[/QUOTE]
 
Bibi kapigwa mtama na kibaka na kuporwa simu yake.Bibi akaanza kumfukuza.Baada ya kuona bibi hachoki kibaka akatupa simu chini na kuendelea kukimbia.Bibi akaokota simu yake na kuendelea kumfukuza tena.Kibaka akauliza.Bibi unataka nini?Simu yako c nishakurudishia!Bibi akajibu,bado mtama.
Hii itapitishwa na TBS TANMO!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom