Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 49,822
- 40,235
ok muaerevuWewe ni mlaaniwa. Akili kisoda.

ok muaerevuWewe ni mlaaniwa. Akili kisoda.

Tena bugarika mahina mabatini mitaa ya kreluu igogo mkuyuni wauza bangi ni wamama mkuuMwanza mabibi wauza bangi ni Wengi Sana
Conditions za rushwa bi mkubwa hakuzifikia. Hawana ubinadamu hao.Huyo hakimu hana akili
Legalize Marijuana.Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza imemhukumu Suzana Marwa, maarufu kama Maswi (78), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kukutwa na bangi yenye uzito wa kilogramu 33.25.
Suzana alikamatwa Machi 29, 2026 katika eneo la Bugarika Kaskazini, baada ya Maafisa wa DCEA kufanya upekuzi nyumbani kwake na kukamata bangi iliyokuwa kwenye mifuko miwili na ndoo ya plastiki.
Katika hukumu, Hakimu Mkazi Mwandamizi Clement Tuji alieleza kuwa umri mkubwa wa Suzana ungestahili kuzingatiwa katika kumpunguzia adhabu, lakini Sheria inaweka kifungo cha lazima cha miaka 30.
Mahakama pia iliamuru bangi hiyo iteketezwe na fedha taslimu shilingi 195,000 zilizokamatwa zitaifishwe.
Kutokea Kenya Madawa ya kulevya Daraja kuu kueleka Sauzi na nchi zingine ni Tanzania.nadhani sheria ni msumeno,
ni vizuri ikatekelezwa kama ilivyo ikiwa makosa yamethibitika pasina shaka![]()
Bali akili ni nini?Huyo hakimu hana akili
kwa faida ya wadau wa Jf,Kutokea Kenya Madawa ya kulevya Daraja kuu kueleka Sauzi na nchi zingine ni Tanzania.
Huyo jamaa yenu anajifanya hawaoni kina Clouds, Efm,wasafi na kina Spika Msela.