jela miaka 30

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Bibi miaka 78 jela miaka 30 kisa bangi kilo 33.25

    Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza imemhukumu Suzana Marwa, maarufu kama Maswi (78), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kukutwa na bangi yenye uzito wa kilogramu 33.25. Suzana alikamatwa Machi 29, 2026 katika eneo la Bugarika Kaskazini, baada ya Maafisa wa...
  2. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Nurdin aenda jela miaka 30 kwa kosa la ubakaji wa mwanafunzi

    Mahakama ya Mkoa wa Lindi imemhukumu Nurdin Mwanga, mkazi wa Mnolela, kwenda jela miaka 30 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi wa Sekondari mwenye umri wa miaka 16. Hukumu hiyo imetolewa Oktoba 08, 2026, katika Kesi Na. 19961 ya mwaka 2026, na Hakimu Mkazi Deliphine Kimati...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo panapo majaliwa ya Mungu, tuungane kumpazia sauti kijana Isa Musini Rashidi aliyetumika kama chambo na kutupwa jela miaka 30 kwa mirungi

    Kama ulitumia mitandao ya kijamii siku ya jana basi kuna asilimia kubwa ulikutana na post hii ambayo iliibua hisia kwenye comment sections, panapo majaliwa sote tuungane kumpazia sauti kijana. · Kijana Mdogo Kama Huyu unamtwanga mvua ya ,iaka 30 jela nini hiki kama sio kumuua ? Bado ni kijana...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hakimu unaanzaje Kumfunga Mtu Jela Miaka 30 au Maisha kisa Bangi kilo Moja?

    Hivi maana ya Jela nini? Klni kutunza Wahalifu tu?. Nategemea Gereza iwe sehem ya kurekebisha Watu . Umemkamata na Bangi Kilo Moja, Huyu labda ilikua kwa matumizi yake binafsi, na hata kama anauza, Itampa nini zaidi ya Hela ya Mboga?. WHO ilishagusia Umuhimu wa Bangi kwa namna yake. Hivo...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Muinjilisti ahukumiwa miaka 30 jela kwa kubaka mtoto wa mwaka 1 Pangani

    Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (miaka 55), Mkristo, Muinjilisti na mkazi wa Raskazoni Tanga, baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 4. Akisoma hukumu hiyo jana tarehe 10...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kuzini na mwanaye wa kumzaa mwenye miaka 9

    Mahakama ya Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga imemuhukumu Waziri Iddi Kasimu (35), mkazi wa kijiji cha Mavovo, kata ya Bwiti, Wilaya ya Mkinga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kuzini na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 9. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Ngudu, Kwimba afungwa jela miaka 30 kwa kumbaka na kumpa mimba mwanafunzi

    Mahakama ya wilaya ya Maswa,mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Ngudu wilaya ya Kwimba mkoa wa Mwanza,Jumanne Clement(23)kwa kosa la kubaka,kumpa ujauzito na kupoka mwanafunzi mwenye umri wa miaka 15 wa kidato cha kwanza. Hukumu hiyo imetolewa leo jumatano,Aprili 30,2025...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maswa: Baba jela miaka 30 kwa kuzini mwanaye wa miaka 14 na kumpa mimba

    Maswa:MAHAKAMA ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imemhukumu,Daud Mabele(38)mkazi wa kijiji cha Kakola-Shishiyu kwenda jela miaka 30 na kumlipa fidia ya Sh 200,000 mhanga baada ya kupatikana na hatia ya kuzini na binti yake wa kumzaa(jina limehifadhiwa) mwenye miaka 14 na kumpatia ujauzito...
  9. B

    JamiiForums Tanzania George Stuwart Shemtoi - Alitepigwa Risasi, Kukatwa Mapanga na Kufungwa jela miaka 30

    PART 1 : SIMULIZI YA MIKASA YA KUTISHA ALIYOPITIA GEORGE S. SHEMTOI https://m.youtube.com/watch?v=fhYfd7vVx-A George S. Shemtoi akisimulia mkasa : Kupigwa Risasi, Kukatwa Mapanga na Kufungwa Jela Miaka 30 bila hatia Alijaribu kujitetea kuanzia ngazi ya mahakama ya wilaya, Mahakama Kuu na...
  10. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kuzini na Mwanae wa kumzaa

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam imemhukumu ALLY SELEMANI IDDI kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la Kuzini na Maharimu (mtoto wake ) Hukumu hiyo imetolewa tarehe 25 Machi, 2025 na Hakimu Mkuu wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke Mhe. Janeth Kaluyenda...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Kanisa (Sinza, Dar) aliyeshtakiwa kwa kumlawiti mtoto kwenye vyoo vya Kanisa, atupwa jela Miaka 30

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imemuhukumu Baraka Benedicto (23) kifungo cha Miaka 30 jela ikiwa ni baada ya kumtia hatiani kwa kosa la ulawiti. Akisoma hukumu hiyo leo Machi 14, 2025, Hakimu Nabwike Mbaba amesema ushahidi ambao umetolewa kwenye kesi hiyo umetosha kumtia hatiani mshtakiwa...
  12. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wawili wahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa makosa ya kubaka

    Bwana Erick Lucas Simtengu [24] mkazi wa Kijiji cha Mbugani Wilayani Chunya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Isenyela mwenye umri wa miaka 15 [Jina linahifadhiwa]. Hukumu hiyo imetolewa katika...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Wenye Nyumba kaeni kitaalamu: Kama mpangaji wako atakutwa na dawa za kulevya nyumba yako itataifishwa!

    Wakuu, Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA. Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao. Alieleza kuwa baadhi ya...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Sera Mpya; Ukioa mwanamke asiye na cheti cha form four jela miaka 30

    ======== Kauli hii ilitolewa na naibu waziri wa elimu wakati huo Joseph Kakunda na ilileta mjadala kwa watu wengi. Hata hivyo Novemba 10, 2017 Kakunda alikuja kutolea ufafanuzi bungeni kwamba alimaanisha sera mpya miaka ijayo itakuwa lazima mtoto kusoma kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

    Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na mwanafunzi wake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema siku za nyuma...
  16. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanafunzi asimamishwa masomo baada ya kukutwa nyumbani kwa Mwalimu Saa 6 Usiku wakidaiwa kufanya mapenzi, Mwalimu analindwa na mamlaka

    👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi. 👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni. 👉Mkakati wa kuficha tuhuma kumsaidia mwalimu wabainika- viongozi watajwa kuhusika. 👉Mzazi wa mwanafunzi...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto mwenye mtindio wa ubongo

    Mkazi wa Kijiji cha Sanya Hoyee kilichopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ayubu Salungo (24), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka msichana wa miaka 16 mwenye mtindio wa ubongo. Mwendesha Mashtaka, David Chisimba amesema mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo...
Back
Top Bottom