Bibi Mdogo Anapopokelewa Vema na Bibi Mkubwa

Bibi Mdogo Anapopokelewa Vema na Bibi Mkubwa

Wivu lazima..kwenye mapenz wivu upo tu labda mtu awe hakupendi...unafikiri ungekuwa ww ndo mke wako ungekubali? Au mke wako akwambie nataka kuwa na mwanaume mwingine muwe wawili we ungemuelewa?
Mke ni mke na mme ni mke...hata sisi waamini tuliambiwa mwanamke hawezi tumikia mabwana wawili
 
IPO siku utayakumbuka haya tunayokuambia japo kimyakimya [emoji23][emoji23][emoji23]
Na Kweli mi sipo Kama mkeo.
Akiwa na majanga ataugulia kimoyomoyo najua hawez leta mrejesho maana wadau wameshamwambia...hiyo itakuwa siri yake ya ndani ss tumuache afurahie
 
Sisi hatukuombei mabalaa mkuu...tunakupa ule ukweli ambao upo na tunauona wewe tu uamue kuchuja..maana hatuna haja ya kukuombea mabalaa..kwan ww ukioa wake wawili mm naathirika vipi au wadau wengine wanaarhirika vipi?
Aaaa wapi hata msiniombee mabalaa mapema hivi
 
Mke ni mke na mme ni mke...hata sisi waamini tuliambiwa mwanamke hawezi tumikia mabwana wawili
Anaweza sana tu kwani mbona kuna wanawake wameolewa na wana wanaume wengine? Wanaweza wasiwe official lakn wakawa wengi wa kutosha tu sasa endelea kusema hawez tumikia mabwana wawili.
 
muoaji kafungiwa ndani, mke mkubwa kapiga solex 3 kwa nje kasepa.....muda huu
 
Back
Top Bottom