Daphine jagi
New Member
- Nov 12, 2018
- 2
- 1
Haya bhana, pambana...
Mrejesho utaletwa mapema sana. Hilo la kumegwa sidhani kabisaUnatengeneza bomu la hatari sana!! Usisahau kuja na mrejesho siku za usoni.Alafu hii kitu Unatengeza mazingira ya kuzidi kuchapiwa wake zako...hasa bi.mkubwa lazima amegwe kisawa sawa
WAGOMBANISHE WAKIPATANA WATAKUUA😉Wakuu Habarini
Hapa ninafuraha ya ajabu kupindukia. Katika hali isiyo ya kutarajiwa bibi mkubwa akubali nioe mke wa pili kwa vigezo vichache sana. Kwanza kabisa lejeeni uzi wangu huu:
Naombeni ushauri Wenu katika Nimefika Njia Panda - JamiiForums
Kimsingi mimi ni mkristo nina mke na watoto wawili kwa bibi mkubwa na mmoja kwa mke mdogo. Halikuwa jambo rahisi kufikia makubaliano na bibi mkubwa nioe huyu mke mdogo. Ila nashukuru tulikaa chini wote tukajadili kama ni ishu ya kifamilia na sio baba tena. Nikaambiwa nimpeleke amwone na waongee wote wawili. Kiukweli bibi mdogo alikataa kabisa kuja home. Pamoja na jitihada za bibi mkubwa kumwomba aje nyumbani aligoma. Ikabidi nimchukue wife niende nae kwake. Kweli tulifika ukapikwa msosi na mjadala ukaanza. Awali hakujua yule kama mke wangu mimi nilimchukua mtoto nikampa bibi mkubwa amshike wakati yeye anapika.
Baada ya msosi ndo mazungumzo yakaanza. Baada ya utambulisho bibi mkubwa alimuuliza tu mke mdogo yupo tayari kuolewa kuwa bibi mdogo na endapo atakubali anamsisitiza kulinda ndoa. Yeye kama bibi mkubwa hataki kusikia anahatarishiwa maisha yake kwa kuletewa magonjwa. Kweli bibi mdogo alikuwa mdogo sana mpaka nilimuonea huruma.
Jumatano ya wiki hii nilimchukua asubuhi nikampeleka home kwa bibi mkubwa wameshinda huko wanajua wao walivyokuwa wanaongea. Jioni saa 2 nikamrudisha kwake mimi nikarudi home kwa bibi mkubwa.
Then mke mkubwa akasema tu inabidi nmlipie mahari na ajukane kama mke mdogo yeye hana kipingamizi na atasaidia kulea mtoto. Ikumbukwe kuwa huyu binti mdogo huyu ni mtoto wa kwanza so inabidi mambo mengi aelekezwe so bibi mkubwa kachukua jukumu.
Leo nimemwambia awaambie kwao mwezi ujao naenda kutoa mahari.
Wakuu yani hapa ninafuraha hata kazi haziendi aisee.
Huu ni Mrejesho tu kwenu wanaJF.
USISAHAU KUNITAG UKIJA NA MAJANGAMkuu nawapenda wake zangu wote na nimeahidi kuwalinda kwa hali na mali
Hajui tu. Hamna mwanamke yoyote yule anayeweza kukubali kirahisirahisi hivyo.Bora hata huyu alikuonesha wazi wazi...mwingine kama mke wa mleta Uzi atakaa kimya lakini cha moto utakiona. Na utajuta
Majanga hapana na nakuthibitishia hilo 100%. Tumefikia muafaka baada ya majadiliano ya pande zote mbili na hayaweza kutenguliwa. I know them ni watu wa principles and understandings..ila kuwa na totozi mbili ni raha sana. Hawa jamaa zetu wa swala tano wanapata faida sana hapa duniani..naungana nao kusihi kwa furahaUSISAHAU KUNITAG UKIJA NA MAJANGA
Kama ulivyopata tamaa ya kuoa wa pili .hilo neno la kuwapenda wao tu na kuwalinda baki nalo wewe tu. 😂😂😂😂Mkuu nawapenda wake zangu wote na nimeahidi kuwalinda kwa hali na mali
Huyo mke mkubwa itakuwa hampendi...hakuna mwanamke anayempenda mumewe kwa dhat kabisa atakayekubali kushare na mwanamke mwingineHajui tu. Hamna mwanamke yoyote yule anayeweza kukubali kirahisirahisi hivyo.
Anaset tu mambo yake
Hamna cha ubora hapo. Labda ungemwambiaga kabla kujachepuka. KuwaHilo halipo na nina uhakika wa asilimia 100% hili halipo. Wengi wenu mmejaa wivu na chuki zisizo za maana. Na binafsi nimemshukuru sana wife kuwa mwelewa mana ningeendelea kuchepuka na sio jambo zuri
Wasiwasi wako tu sina cha kuhofu kabisa..usimfananishe yeye na wewe..she is different 100%Hamna cha ubora hapo. Labda ungemwambiaga kabla kujachepuka. Kuwa
Mke wangu wewe hunitoshelezi nichepuke au nioe.
Hapo kidogo ungeeleweka. Umechepuka na mtoto juu mkapata....
Mwangalie sana Mke wako mkubwa kwa jicho la tatu..
Wivu hata hausaidii sasa mmeo atakuwa na vimwana hata haviko official sasa si bora mm
Yaani wewe una akili Kama zangu. Kushere huku naona ni big no kwangu.Namuacha na huyo mke wake mdogo waenjoy maisha me nachukua hamsini zangu
IPO siku utayakumbuka haya tunayokuambia japo kimyakimya 😂😂😂Wasiwasi wako tu sina cha kuhofu kabisa..usimfananishe yeye na wewe..she is different 100%
Wivu lazima..kwenye mapenz wivu upo tu labda mtu awe hakupendi...unafikiri ungekuwa ww ndo mke wako ungekubali? Au mke wako akwambie nataka kuwa na mwanaume mwingine muwe wawili we ungemuelewa?Hilo halipo na nina uhakika wa asilimia 100% hili halipo. Wengi wenu mmejaa wivu na chuki zisizo za maana. Na binafsi nimemshukuru sana wife kuwa mwelewa mana ningeendelea kuchepuka na sio jambo zuri
Duu hapo napo patamu kama unaweza mruhusu mmeo kuchepuka atakavyo hilo ni bora ila yeye kaamua nioemwanamme akioa wake wengi haimaanishi kwamba hachepuki unaweza kua na wake wawili bado ukamtamani mwingne bora awe na vimada elfu mke nibaki mwenyewe