Bibi Mdogo Anapopokelewa Vema na Bibi Mkubwa

Bibi Mdogo Anapopokelewa Vema na Bibi Mkubwa

Mimi nimechepuka na zaidi ya wanawake 60 mmoja kaniambia ana mimba yangu ila si thubutu nikathubutika kuleta kwa Wife maana ntakua naatarisha ndoa yangu. Ila kuchepuka kuzuri jamani kuoa wew isikie tu kwa wenzako
 
Sio bure...Utakuwa na taaluma ya international au public relations bila ivo kubali kati yako na nke mdogo kuna aliyeenda kwa mganga
 
Unatengeneza bomu la hatari sana!! Usisahau kuja na mrejesho siku za usoni.Alafu hii kitu Unatengeza mazingira ya kuzidi kuchapiwa wake zako...hasa bi.mkubwa lazima amegwe kisawa sawa
 
Wakuu Habarini
Hapa ninafuraha ya ajabu kupindukia. Katika hali isiyo ya kutarajiwa bibi mkubwa akubali nioe mke wa pili kwa vigezo vichache sana. Kwanza kabisa lejeeni uzi wangu huu:
Naombeni ushauri Wenu katika Nimefika Njia Panda - JamiiForums

Kimsingi mimi ni mkristo nina mke na watoto wawili kwa bibi mkubwa na mmoja kwa mke mdogo. Halikuwa jambo rahisi kufikia makubaliano na bibi mkubwa nioe huyu mke mdogo. Ila nashukuru tulikaa chini wote tukajadili kama ni ishu ya kifamilia na sio baba tena. Nikaambiwa nimpeleke amwone na waongee wote wawili. Kiukweli bibi mdogo alikataa kabisa kuja home. Pamoja na jitihada za bibi mkubwa kumwomba aje nyumbani aligoma. Ikabidi nimchukue wife niende nae kwake. Kweli tulifika ukapikwa msosi na mjadala ukaanza. Awali hakujua yule kama mke wangu mimi nilimchukua mtoto nikampa bibi mkubwa amshike wakati yeye anapika.
Baada ya msosi ndo mazungumzo yakaanza. Baada ya utambulisho bibi mkubwa alimuuliza tu mke mdogo yupo tayari kuolewa kuwa bibi mdogo na endapo atakubali anamsisitiza kulinda ndoa. Yeye kama bibi mkubwa hataki kusikia anahatarishiwa maisha yake kwa kuletewa magonjwa. Kweli bibi mdogo alikuwa mdogo sana mpaka nilimuonea huruma.
Jumatano ya wiki hii nilimchukua asubuhi nikampeleka home kwa bibi mkubwa wameshinda huko wanajua wao walivyokuwa wanaongea. Jioni saa 2 nikamrudisha kwake mimi nikarudi home kwa bibi mkubwa.
Then mke mkubwa akasema tu inabidi nmlipie mahari na ajukane kama mke mdogo yeye hana kipingamizi na atasaidia kulea mtoto. Ikumbukwe kuwa huyu binti mdogo huyu ni mtoto wa kwanza so inabidi mambo mengi aelekezwe so bibi mkubwa kachukua jukumu.
Leo nimemwambia awaambie kwao mwezi ujao naenda kutoa mahari.

Wakuu yani hapa ninafuraha hata kazi haziendi aisee.

Huu ni Mrejesho tu kwenu wanaJF.
NEW FORCE huwa haiui ikiwa pale ubungo(kabla ya kuanza safari au kufika) mauaji hutokea ikiwa njiani.So usichekelee sana mwanzo wa safari matatizo mengi yapo huko njiani
 
Back
Top Bottom