Bibi Mdogo Anapopokelewa Vema na Bibi Mkubwa

Bibi Mdogo Anapopokelewa Vema na Bibi Mkubwa

Na Jua Kali Hili Unalea K.:uma Mbili Na Watoto Watatu
Hongera Kwa Ushababi
Mkuu na hili janga linalotetewa mpaka na Word Bank na IMF itabidi kujiongeza mana wenzetu wameamua isivyo
 
We mwache afurahie tu...anafikiri mke wake anafurahia sana yy kumletea mwanamke mwingine? Siku na yy akisikia mke wake ana mwanaume mwingine naamin ataendelea kufurahi
Kwa niaba ya mke wangu naomba nikuhakikishie kuwa tuko salama salimini. Ukifananisha na wanawake wengine na dhahiri lazima ufikiri hivyo
 
Bora hata huyu alikuonesha wazi wazi...mwingine kama mke wa mleta Uzi atakaa kimya lakini cha moto utakiona. Na utajuta
Hilo halipo na nina uhakika wa asilimia 100% hili halipo. Wengi wenu mmejaa wivu na chuki zisizo za maana. Na binafsi nimemshukuru sana wife kuwa mwelewa mana ningeendelea kuchepuka na sio jambo zuri
 
Wakuu Habarini
Hapa ninafuraha ya ajabu kupindukia. Katika hali isiyo ya kutarajiwa bibi mkubwa akubali nioe mke wa pili kwa vigezo vichache sana. Kwanza kabisa lejeeni uzi wangu huu:
Naombeni ushauri Wenu katika Nimefika Njia Panda - JamiiForums

Kimsingi mimi ni mkristo nina mke na watoto wawili kwa bibi mkubwa na mmoja kwa mke mdogo. Halikuwa jambo rahisi kufikia makubaliano na bibi mkubwa nioe huyu mke mdogo. Ila nashukuru tulikaa chini wote tukajadili kama ni ishu ya kifamilia na sio baba tena. Nikaambiwa nimpeleke amwone na waongee wote wawili. Kiukweli bibi mdogo alikataa kabisa kuja home. Pamoja na jitihada za bibi mkubwa kumwomba aje nyumbani aligoma. Ikabidi nimchukue wife niende nae kwake. Kweli tulifika ukapikwa msosi na mjadala ukaanza. Awali hakujua yule kama mke wangu mimi nilimchukua mtoto nikampa bibi mkubwa amshike wakati yeye anapika.
Baada ya msosi ndo mazungumzo yakaanza. Baada ya utambulisho bibi mkubwa alimuuliza tu mke mdogo yupo tayari kuolewa kuwa bibi mdogo na endapo atakubali anamsisitiza kulinda ndoa. Yeye kama bibi mkubwa hataki kusikia anahatarishiwa maisha yake kwa kuletewa magonjwa. Kweli bibi mdogo alikuwa mdogo sana mpaka nilimuonea huruma.
Jumatano ya wiki hii nilimchukua asubuhi nikampeleka home kwa bibi mkubwa wameshinda huko wanajua wao walivyokuwa wanaongea. Jioni saa 2 nikamrudisha kwake mimi nikarudi home kwa bibi mkubwa.
Then mke mkubwa akasema tu inabidi nmlipie mahari na ajukane kama mke mdogo yeye hana kipingamizi na atasaidia kulea mtoto. Ikumbukwe kuwa huyu binti mdogo huyu ni mtoto wa kwanza so inabidi mambo mengi aelekezwe so bibi mkubwa kachukua jukumu.
Leo nimemwambia awaambie kwao mwezi ujao naenda kutoa mahari.

Wakuu yani hapa ninafuraha hata kazi haziendi aisee.

Huu ni Mrejesho tu kwenu wanaJF.

Aisee watu na vipaji vyenu wenzenu wanaongeza account za bank na vi wonder ww unaongeza lain za cm ili uongeze majukumu ya vocha alfu et ynafurahia mwee akil zako zinakutosha mwenyewe
 
Aisee watu na vipaji vyenu wenzenu wanaongeza account za bank na vi wonder ww unaongeza lain za cm ili uongeze majukumu ya vocha alfu et ynafurahia mwee akil zako zinakutosha mwenyewe
Endeleeni kuongeza account za bank mana hata ukitafuta lazima utumie hujaja duniani kula tabu, wengine tumekuja kula bata na tuenda mbinguni tutaenda kumalizia tu
 
Back
Top Bottom