Bibi kizee mahakamani

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
2,114
1,485
Bibi mmoja alipeleka kesi mahakani na mambo yalikuwa hivi:
Wakili:Bibi unaweza kuileza mahakama nini kilichotokea?
Bibi:Mheshimiwa Hakimu mnamo tarehe husika mida ya saa 2 usiku nikiwa nimelala nilishangaa kuona mlango wangu unavunjwa na kijana huyu na kuanza kunibaka akidhani haya mambo mimi siyajui weee nilimpa mambo mpaka kijana akaridhika!
Hakimu:Bibi sasa unachotaka mahakama ichukue ifanye dhidi ya kijana huyu ni kipi?
BIBI: Mi naiomba mahakama imuamuru kijana anitengenezee mlango wangu halafu awe anakuja kama kawaida!
MAHAKAMANI WATU HOIII!!
 
Back
Top Bottom