- Thread starter
- #41
Pilu ngoja baas nijifanye nimeamini...... Haya basi naomba nijibu hili.... Ina maana Bwana harusi akishauri kumuoa huyo mwanamke yupo tayari kuoa? Mie assumption zangu ni hizi tokana na majibu atatoa..... (take note, naweza kua wrong, hayo ni mawazo yangu)
Kama yupo tayari kumuoa:
- Ni mwanaume tegemezi... Yaani mwanadada ana pesa kuliko mwanaume na she is ready to provide. Na sababu jamaa aidha ni mvivu ama tu maisha yamempiga anaona bora tu aoe ili awe guranteed uraisi wa maisha.
- Kapenda huyo mwanamke mpaka hajielewi kabisa!
- Ni mgeni anahitaji uraia kupitia ndoa.
- Sio rijali.... Labda hio ndoa itakua ni picha tu, na wanamakubaliano mdada aweza toka nje once married....
Kama hayupo tayari kuoa....
Hapa kwa kweli ni wazi kua ni vigumu kutaka oa mwanamke alokuadhirisha hivo mpaka jamii yooote ikajua.
Sasa Baaad Pilu naomba tueleweshe....
dier,
kwa mimi njuavyo hio point no.2 inaukweli ila hizo nyingine labda nikafatilie zaidi ili nijue ila kwa upande wa uraia wote na watanzania na bwana harusi ana kazi nzuri tu yenye kipato so sio tegemezi ,pia b.harusi anakazi.