Bibi harusi atimua mbio katikati ya harusi

Huyu mwanamke kwa upande wangu hata ipite muda gani lazima afikwe na ulemavu wa kiongo awe tegemezi ktk familia yake kama malipo ya aibu na hasara aliyonisababishia.
 
Huyu mwanamke kwa upande wangu hata ipite muda gani lazima afikwe na ulemavu wa kiongo awe tegemezi ktk familia yake kama malipo ya aibu na hasara aliyonisababishia.
Ni kumwachia Mungu tu, kheri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Hakumpenda uyo, unamuacha tu ulimwengu upate kumfunza maisha
 
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi [emoji106]
 
Jamaa umetia watu mzuka aisee, watu wanapenda ubuyu hatari.!!
 
Mpaka unanivisha pete mi nimo tu na ubabe wako!? Labda umeniteka akili
Before pete nitakupetipeti kwa kiwango cha hali ya juu, ila nikikuweka ndani na wewe ukajifanya umegundua mimi sio mkurugenzi wa kampuni fulani kama ulivyotegemea ukaanzisha figisu ndio utanijua kazi yangu halisi. Wanawake bila undava hamuendi.
 
Let's be real tu kuwa Mimi nafanya kazi kampun flani na nimesomea kitu Fulani sina Gari wala Nyumba ila nna Kiwanja bunju
 
Dah! Hapo namsifu bwana harusi na mpambe wake. Wako sambamba na kitaeleweka tu
 
Before pete nitakupetipeti kwa kiwango cha hali ya juu, ila nikikuweka ndani na wewe ukajifanya umegundua mimi sio mkurugenzi wa kampuni fulani kama ulivyotegemea ukaanzisha figisu ndio utanijua kazi yangu halisi. Wanawake bila undava hamuendi.
Weee haijalishi nina pete yako. Hata kama niko ndani nitatoka tu
 
Duh hiyo heading ilivyo hatari, "Bi Arusi atimua mbio katikati ya tendo la ndoa" mimi nilijua kwenye mambo yetu yale baada ya mziki kuwa mzito akaamua kutikua mbio na pichu mkononi
Mh! umesoma vizuri hiyo heading?
Wapi imeandikwa :- 'kati kati ya tendo la ndoa?'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…